Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Kuna maswali ya kijinga huuliza wanawake ukianza kumtongoza. Nasema ya kijinga kwa sababu anakuwa anajua majibu yake au anajua kabisa hawezi kuambiwa ukweli.

Anauliza
1. Mimi ni mwanamke wako wangapi?
2. Kwa nini umepima ngoma? Au kuna demu umepiga kavu
3. Hivi kweli huna demu mwingine?
4. Hivi kweli hutonichiti?
5. Hivi kweli utanijali?

Hivi kweli kuna bwege atakutajia idadi kamili ya mademu aliogonga? Au kukuambia ndiyo ana demu mwingine?

Ongeza maswali mengine ya kijinga
 
4. Hivi kweli utanijali...maana yake utanipa pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…