Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

Wewe unatongoza wanafunzi wa primary, sababu hata wa secondary hawana ujinga huo!!
Ila kina sie swali la kwanza, “Unajishughulisha na nini?!!”
Kwanza tujue uhakika wa pesa upo kwa asilimia ngapi? Sio huduma ziwe za kusuasua
 
hawa wajeiefu na wenzao wa badoo n.k ukiwatext utaskia

  • ushaniona mi malaya eeh?
  • mi so type yako
  • mi so cheap kiivo bro
  • sipo hapa kwa mambo hayo
  • mi expensive huniwezi
  • ur not my type
Kwasasa sihitaji mahusiano sababu bado sijatimiza ndoto zangu.

Translation:

Kwasasa sihitaji mahusiano serious nataka kuchezea usichana wangu na wanaume ambao siwezi kufanya nao maisha yaani wahuni ili wanichezee hadi nichakae then baada ya hapo ndio nikutafute tupange maisha nikiwa na watoto wa baba tofauti na majukumu ambayo nitataka wewe uyabebe kwa 100% kama vile wewe ndie uliye nipotezea muda na malengo yangu ya msingi ya kimaisha.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Matoto ya kike ya siku hizi ni Sifuriiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom