macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Natofautiana na wewe. Haya maswali ni ya msingi na mazuri sana. Kwa nini? Kwa sababu kuna namna nyingi za kuweza kumsoma mtu unapouliza maswali kama hayo. Nakuhakikishia watu wengi wana uwezo wa kusoma body language yako na mtiririko wa jinsi unavyopangilia maneno yako. Pia kunakuwa na follow up questions ambazo zinatokana na jinsi unavyojieleza na kupima logic ya majibu yako. Kumbuka ule usemi: hakuna mswali ya kijinga bali kuna majibu ya kijinga!Kuna maswali ya kijinga huuliza wanawake ukianza kumtongoza. Nasema ya kijinga kwa sababu anakuwa anajua majibu yake au anajua kabisa hawezi kuambiwa ukweli.
Anauliza
1. Mimi ni mwanamke wako wangapi?
2. Hivi kweli huna demu mwingine?
3. Hivi kweli hutonichiti?
4. Hivi kweli utanijali?
Hivi kweli kuna bwege atakutajia idadi kamili ya mademu aliogonga? Au kukuambia ndiyo ana demu mwingine?
Ongeza maswali mengine ya kijinga