Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

Maswali ya kijinga wanayouliza wanawake wakitongozwa

Attachments

  • Screenshot_2023-08-17-16-20-08-01.jpg
    Screenshot_2023-08-17-16-20-08-01.jpg
    34.9 KB · Views: 2
Hata hiyo siulizi.. Najiongeza mwenyewe.

Mimi nitataka kujua unajishughulisha na nini?

Pia, nitauliza unakoishi.

Basi!!!!!

Tukishakua na chemistry nzuri ndo maswali ya msingii yatakua yanaulizwa. like what kind of relationship do we have, I would like to know the health status, family status, Economic stability, Hobbies, what does he like? What does he hate and I will respect his decisions, and i would like to knw what happened to his previous relationship. (kwa majibu yake utajua ni mtu wa aina gani pia?), etc
Hayo Ndio maswali ya msingi yanatakiwa kuulizwa we unaonesha upo matured
 
Alafu utakuta mwingine ana meno 32 tena butu. Ile mpo katikati ya mechi ushapiga vyako viwili unatafuta cha tatu anaanza kujiroposha tuu "et hivi baby utanioa au unanichezea tuu"

Yani na kasirikaga mimi natamani ni mnase hadi vibao vya mashavu ila najikuta naishia kumpiga tuu vya makalio
 
Back
Top Bottom