Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
mnacheka km mazuri mungu anawaona nyie watu😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnacheka km mazuri mungu anawaona nyie watu😂😂😂😂
😂🤣nishakutana nayo hiiUtasikia una mpango gani na mimi naishia kucheka tuuu 😄
Hili uwa liko hiviii
What kind of relationship do u want? Uwe mkweli, niwe mkweli
Tusichoshane.
Ukishapewa pussy ukakuta yaliyomo yamo mbona utayajibu tena bila kuulizwa,,
🤣🤣🤣🤣🤣🤣4. Hivi kweli utanijali...maana yake utanipa pesa?
Mwasibu unajifunza kutongoza watoto?
🤔😅Utasikia una mpango gani na mimi naishia kucheka tuuu 😄
JoannahMaskini hana mapenzi ya kweli...anapenda pesa
Hio " mi nina mtu wangu "
- wanawake wote hawa we hujawaona?
- akhaa mi staki
- staki utaniumiza
- mi naogopa
- mi nna mtuwangu
- namwogopa dada
- mi bado mdogo
- kwani we ujaoa?
- we mbona mkubwa?
1&4[emoji1787]1. Namba yangu amekupa nani?
2. Unaishi na nani?
3. Una watoto wangapi?
4. Umenipendea kitu gani?
5. Umeshalala na wanawake wangapi kabla yangu?
Utasikia unaomba namba yangu ya nini?Kuna maswali ya kijinga huuliza wanawake ukianza kumtongoza. Nasema ya kijinga kwa sababu anakuwa anajua majibu yake au anajua kabisa hawezi kuambiwa ukweli.
Anauliza
1. Mimi ni mwanamke wako wangapi?
2. Hivi kweli huna demu mwingine?
3. Hivi kweli hutonichiti?
4. Hivi kweli utanijali?
Hivi kweli kuna bwege atakutajia idadi kamili ya mademu aliogonga? Au kukuambia ndiyo ana demu mwingine?
Ongeza maswali mengine ya kijinga
😂 mpango n kutelezaUtasikia una mpango gani na mimi naishia kucheka tuuu 😄
Kwanini umemwita hapa?
Ndo hapo sasa, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23] eee mwaya usije kubeba vitu vya ajabu
Hahahahaaaa. Ila nimecheka sana yaani. Lol."unafanya kazi gani" na anajua kabisa we ni mwasibu 😁
Kuna maswali ya kijinga huuliza wanawake ukianza kumtongoza. Nasema ya kijinga kwa sababu anakuwa anajua majibu yake au anajua kabisa hawezi kuambiwa ukweli.
Anauliza
1. Mimi ni mwanamke wako wangapi?
2. Hivi kweli huna demu mwingine?
3. Hivi kweli hutonichiti?
4. Hivi kweli utanijali?
Hivi kweli kuna bwege atakutajia idadi kamili ya mademu aliogonga? Au kukuambia ndiyo ana demu mwingine?
Ongeza maswali mengine ya kijinga