Maswali ya msingi kwenu Wana Jukwaa

Maswali ya msingi kwenu Wana Jukwaa

Hakuna pahala mtoa mada ameuliza maswala ya muungano, na ukae ukijua muungano sio Biblia Wala sio Quran kwamba hawezi kuvunjwa, jikite kwenye mada
Pamoja sana
 
Hayo maswali yako matatu yote mwenye majibu sahihi ni Nyerere, wengine hapa ni kuleta story walizookota kila mmoja kwenye kijiwe chake.
Tuwe wavumilivu wenda wajuvi wapo
 
1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961?
Kasome vitabu vya Civics.
Moja wapo ni kuwa, mtu yeyote mweupe asiteswe kutokana na mambo aliyoyatenda katika zama za ukoloni.
 
Back
Top Bottom