Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Sep 4, 2023 Thread starter #21 Papasa said: Hakuna pahala mtoa mada ameuliza maswala ya muungano, na ukae ukijua muungano sio Biblia Wala sio Quran kwamba hawezi kuvunjwa, jikite kwenye mada Click to expand... Pamoja sana
Papasa said: Hakuna pahala mtoa mada ameuliza maswala ya muungano, na ukae ukijua muungano sio Biblia Wala sio Quran kwamba hawezi kuvunjwa, jikite kwenye mada Click to expand... Pamoja sana
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Sep 4, 2023 Thread starter #22 denooJ said: Hayo maswali yako matatu yote mwenye majibu sahihi ni Nyerere, wengine hapa ni kuleta story walizookota kila mmoja kwenye kijiwe chake. Click to expand... Tuwe wavumilivu wenda wajuvi wapo
denooJ said: Hayo maswali yako matatu yote mwenye majibu sahihi ni Nyerere, wengine hapa ni kuleta story walizookota kila mmoja kwenye kijiwe chake. Click to expand... Tuwe wavumilivu wenda wajuvi wapo
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,649 Reaction score 6,680 Sep 4, 2023 #23 So special said: 1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961? Click to expand... Kasome vitabu vya Civics. Moja wapo ni kuwa, mtu yeyote mweupe asiteswe kutokana na mambo aliyoyatenda katika zama za ukoloni.
So special said: 1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961? Click to expand... Kasome vitabu vya Civics. Moja wapo ni kuwa, mtu yeyote mweupe asiteswe kutokana na mambo aliyoyatenda katika zama za ukoloni.
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Sep 4, 2023 Thread starter #24 Bemendazole said: Kasome vitabu vya Civics. Moja wapo ni kuwa, mtu yeyote mweupe asiteswe kutokana na mambo aliyoyatenda katika zama za ukoloni. Click to expand... Civics level ipi ?
Bemendazole said: Kasome vitabu vya Civics. Moja wapo ni kuwa, mtu yeyote mweupe asiteswe kutokana na mambo aliyoyatenda katika zama za ukoloni. Click to expand... Civics level ipi ?
Mto Songwe JF-Expert Member Joined Jul 17, 2023 Posts 6,683 Reaction score 14,060 Mar 3, 2024 Thread starter #25 .