Maswali ya Mwanangu kwa Mama yake yamenishtua!

Acha hofu. . . .. Mtoto wa umri huo anaweza sema mambo meengi tu vile ubongo wake unamuelekeza. . . Kaa naye kwa ukaribu na mapenzi muulize maswali naye atakuuliza yake utamuelewa tu

Sawa sawa.
 
Mtoto anauliza tu.... Wewe Shaka ya nini????
 
Hakuna kitu mtoto anakuwa na furaha kama wazazi wake kupendana, inawezekana alimuuliza mama yake kuhusu hayo mashuka yenye maua mama akamwambia nitayatandika baba akirudi ,kwa harakaharaka mtoto kaona hapa baba anapewa upekee flani na ndio maana kauliza mama unampenda baba
 

Yes, mkuu i can imagine!!
 

oh jamani..thats nice!
 

Mwanamke una maneno laini. Hata ukimletea Paw watoto kumi wa kuchepuka atakuwa mpole.
Mtoto ana pua kama kiazi Paw anasema amefanana na binamu wa Babu yake!!
 
Ni maswali ya kawaida kabida kwa mtoto wa kike. Mtoto wa kike hupenda sana kujua juu ya upendo, mahusiano na familia akiwa mdogo sana ndio maana hata michezo yao huwa ya kifamilia mara apike matope, mara alee mtoto nk. Na ndio maana ndoa zikiwa na misukosuko mtoto wa kike hupata hisia na maumivu mapema kuliko wa kiume (tafiti zimeonyesha ) Pia mtoto wa kike anamapenzi sana kwa baba hivyo anataka kupata assurance kwa mama kama kwake ni hivyo.

Kwa hiyo wewe kurudi nyumbani baada ya safari ni faraja sana kwake na anaconfirm tu anachoanza kuamini kuwa familia na wanandoa ni sehemu kuu ya kuonyesha upendo. So uwe na amani sana mkuu.
 
"Mama Unampenda Baba Kama Unavyompenda Anko?" Ndo Lilikuwa Swali Ila Mtoto Hakumalizia, Siku Nyingine Mpe Mda Atamalizia
 

Ha ha haki ya mungu mangi wa video kaja
 
Kwamba kuna mtu alitandikiwA hayo mashuka nazuri ktk hizo siku hukuwepo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…