The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
sidhani, kwasababu angeniambia tu
Kwanza kabisa be very positive mkuu, nimekuja kugundua kunawakati unaweza kukosa raha naukakuta unaumia na mambo ya kufikirika ambayo hata hayapo. Kama kuna kitu kinaendelea ambacho sio cha kawaida, utakijua tu. Usijipe stress kwa jambo lisilokuwepo, litakupunguzia mapenzi na upendo kwa mkeo kitu kinachoweza kupelekea matatizo kwenye ndoa yenu.