sidhani, kwasababu angeniambia tu
Ngoja nipote kwanza
Watoto huwa wana maswali mengi ambayo wazazi wengine hubaki mdomo wazi.
Lakini swali kama hilo ni kawaida kwa watoto ambao wako karibu na wazazi wao.
Nina maana wazazi ambao hawawapigi watoto na badala yake kuwapa upendo.
Yapo maswali wanauliza kama kwa nini tunakufa, kwa nini mawingu ni blue au kwanini watu wanauwana au watoto wanatoka wapi mwambie kwenye shelf la juu supermarket
Atakuwa ndio kwanza anajifunza kuhusu upendo. Na amegundua kuwa baba hupewa vitu vizuri na spesheli kiaina. Na pengine alishasikia kwenye simu ukiambiwa i love you.
Kuna siku mtoto wa 4 yrs hivi wakati tunaangalia movie alisema 'she is pregnant'. Baba yake akamuuliza what is pregnant in swahili? Akasema 'mzuri!'. Nilijifunza kuwa positive na watoto kwa sababu ya mtizamo wa baba yule.
"Mama Unampenda Baba Kama Unavyompenda Anko?" Ndo Lilikuwa Swali Ila Mtoto Hakumalizia, Siku Nyingine Mpe Mda Atamalizia
Hiyo ya Watoto wanatoka wapi umenifurahisha sana
Ahaaaa umenikumbusha kasisi mmoja alichepuka kwa mke wa mtu. Baba nyumba alikuwa safari, basi kama kawa kasisi kafika kuku kibao ubwabwa etc, kumbe baba nyumba kuna mtu alimtonya kuwa huye kasisi anapigaga pale mechi za ugenini, huyo mwanamke alikuwa na mtoto kama 4yrz wa kike. Wakati mama, kasisi, na mtoto wanakula baba kagonga mlango.mweeeee kasisi ikabidi aingie uvunguni mwa kitanda, baba kauliza " vipi hii sahani ya tatu ni ya nani"?? Mtoto bila kusita akasema ni ya anko yupo uvunguni mweeeeee! Wacha baba nyumba amkuirupue uvunguni bishana, bishana baba kasema anataka 10m kasisi akajitetea analeta 7 yaishe basi katoa 2m alikuwa nazo kwenye gari. Baada ya wiki kaleta 5. Kesi ikaisha.
Shikamoo pesa.
Muulize UNCLE alikuja? Wakati mi sipo?
Asante Sana mkuuhuu uzi umekaa fresh sana,.,una mtoto genius aisee hongera broh
Muulize UNCLE alikuja? Wakati mi sipo?