Maswali ya Mwanangu kwa Mama yake yamenishtua!

Inawezekana ameskia conversation ya simu ya mama yake na mtu mwingine. So endelea kuchunguza. Kids get tiny details about things from everyday conversations and formulate their own way of thinking, and there comes questions. Ndio mana mtoto akikaa na mama anaetukana sana nae anaanza kutukana[emoji19] au anauliza 'kitu flani maana yake nini?'
 
Atakuwa mama yake Hilo shuka hutandika ukiwa haupo na kuna nyendo zinazo mfanya mtoto ahisi hakuna upendo wa mkeo kwako
 
Kaa na mtoto vizuri umuulize kuna kitu kiko nyuma ya pazia hapo.
 
Asante, hayo ndiyo maswali ya watoto. Kwa kawaida mtoto chini ya miaka 5 asilimia kubwa ya fikra na matendo yake huwa ya kweli (siyo ya kujifanya/singizia). Ujue hapo swali lilikuwa kama mama anampenda baba yake? full stop na hakuna chembe ya mzunguko. Mwamini mwanao.

Lakini atakapozidi miak 5 utashangaa mambo ya kujisingizia yatakuwa mengi zaidi (mfano atajifanya kasinzia kumbe siyo). Na hatua hii inawahi kadri wazazi walivyo; kama wewe ni muongo mtoto ataanza kujisingizia mapema kuliko kawaida. Hapa ndipo utakapoanza kupembua original na fake, real vs counterfeit n.k.
 

Yaelekea mama yake wakati haupo hakuwa na raha kabisa....
Ndio maana ulivyorudi akauliza wewe kupewa zile special care shuka nzuri na mama kafurahi that means kaiona furaha ya mama

Na mama unampenda baba ni ile bashasha aliyokupoka nayo
 
Warning light mkuu mie kwangu lazma ni jiongeze watch out wangu alianza hvyoo mkuuuu at last nikashudia scenarior nzimaaa
 
Km huna mpango wa kumuacha mkeo, nakushauri Kaa kimya maana haita kusaidia.
 
Kikawaida watoto wa kike huwa wanawapenda baba zao hiyo ni girls psychology
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…