Maswali ya waandishi wa habari wetu kwa makocha na wachezaji ni ushahidi wa elimu ndogo

Maswali ya waandishi wa habari wetu kwa makocha na wachezaji ni ushahidi wa elimu ndogo

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Baadhi ya Waandishi habari wetu wana walakini ya wazi kabisa. Maswali yao kwa makocha na wachezaji wa nje na ndani yanamtia kichefuchufu hata msikilizaji.

Wanaiangusha taaluma ya habari, hayana weledi kabisa.

Pia hawajui kiingereza lakini wanataka kuwahoji wachezaji wa timu ngeni.
 
Back
Top Bottom