Maswali yaliyokosa majibu ndani ya malumbano ya hoja ITV leo 6/2/25

evocom

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2017
Posts
258
Reaction score
236
Habari za usiku huu.

Nimeangalia Malumbano ya hoja ITV kuhusu kusitishwa kwa USAid na haya ni maswali Yaliyokosa Majibu ivyo mwenge kujua na asaidie majibu.

1. Ikiwa mtu atahitaji/watanzania wanahitaji kujua izo dawa zikiuzwa zitauzwa kwa bei gani? Au ni sh.ngapi kwa dozi?

2. Eti dawa zikitolewa huwa zinaambatana na chakula, Je ela ya chakula ilikuwa inaenda wapi ikiwa walikuwa wanapewa dawa tu?

3. Dk.Kalulu wa dawa za mitishamba mbona hakupewa airtime ya kutosha kuelezea dawa za asili zinawezaje kusaidia? Au kwa nn ITV hawakuchukua ata mtu Mmoja wa tiba mbadala ili kupata utafiti wao,,?

4. Je, serikali ina mtizamo gani kuhusu wataalam wa afya ambao walikuwa chini ya USAID, je itawapa ajira ili waendelee na kazi zao au ndo wamestaafu ivyo??

5. Je, baada ya miezi3 US ikataka tena kutupa dawa, tutakubali au lah?

6. Je, dawa za ARV zinatolewa/ tengenezwa na US peke ake?

Majibu kwa wajuzi wa mambo
 
kujibu swali la mwisho

Dawa za ARV (Antiretroviral) zinazotumika kufubaza VVU (Virusi vya Ukimwi) hutengenezwa na kampuni za dawa mbalimbali duniani. Nchi zinazozalisha dawa hizi ni pamoja na Marekani, Uingereza, India, na nchi nyingine za Ulaya. Kampuni kama Gilead Sciences, ViiV Healthcare, na Cipla ni baadhi ya watengenezaji wakubwa wa dawa za ARV. India, kwa mfano, inajulikana kwa kutengeneza dawa za ARV kwa bei nafuu, na inachukua nafasi muhimu katika usambazaji wa dawa hizi duniani, hasa kwa nchi zinazoendelea.
 
kujibu swali la mwisho

Dawa za ARV (Antiretroviral) zinazotumika kutibu VVU (Virusi vya Ukimwi) hutengenezwa na kampuni za dawa mbalimbali duniani. Nchi zinazozalisha dawa hizi ni pamoja na Marekani, Uingereza, India, na nchi nyingine za Ulaya. Kampuni kama Gilead Sciences, ViiV Healthcare, na Cipla ni baadhi ya watengenezaji wakubwa wa dawa za ARV. India, kwa mfano, inajulikana kwa kutengeneza dawa za ARV kwa bei nafuu, na inachukua nafasi muhimu katika usambazaji wa dawa hizi duniani, hasa kwa nchi zinazoendelea.
Bei zake hasa kwa nchi ya India yenye bei nafuu inaweza gharimu kiasi gani kwa dozi.( Pia dozi yake ikoje -- kwa uelewa zaidi)
Asante
 
Search

Reason

Dawa za kufubaza makali ya VVU (ARV) nchini India zinapatikana kwa bei nafuu ikilinganishwa na nchi nyingi duniani. Hii ni kutokana na uwezo wa viwanda vya dawa nchini humo kuzalisha ARV kwa gharama ya chini. Kwa mfano, gharama ya wastani ya dawa za ARV kwa mgonjwa mmoja kwa mwezi inaweza kuwa chini ya Dola za Marekani 10, ingawa bei inaweza kutofautiana kulingana na aina ya dawa na sera za ununuzi.
Kwa upande wa Tanzania, gharama ya dawa za ARV kwa mgonjwa mmoja kwa mwezi inakadiriwa kuwa Dola za Marekani 58.20, sawa na takriban Shilingi 135,780. Hii inaonyesha tofauti kubwa ya bei kati ya nchi hizi mbili, ambapo India ina faida ya uzalishaji wa ndani wa dawa hizi kwa gharama nafuu

Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa bei hizi zinaweza kubadilika kutokana na mambo kama vile sera za serikali, mikataba ya ununuzi, na gharama za usafirishaji. Kwa hivyo, kwa taarifa sahihi na za hivi punde kuhusu bei za ARV nchini India, inashauriwa kuwasiliana na mamlaka husika za afya au wasambazaji wa dawa nchini humo.
 
kujibu swali la mwisho

Dawa za ARV (Antiretroviral) zinazotumika kutibu VVU (Virusi vya Ukimwi) hutengenezwa na kampuni za dawa mbalimbali duniani. Nchi zinazozalisha dawa hizi ni pamoja na Marekani, Uingereza, India, na nchi nyingine za Ulaya. Kampuni kama Gilead Sciences, ViiV Healthcare, na Cipla ni baadhi ya watengenezaji wakubwa wa dawa za ARV. India, kwa mfano, inajulikana kwa kutengeneza dawa za ARV kwa bei nafuu, na inachukua nafasi muhimu katika usambazaji wa dawa hizi duniani, hasa kwa nchi zinazoendelea.
Kwanini USA ndiyo alikuwa anatoa msaada pekee?
Sijajawaona Warusi, China, Iran na nchi zingine za kiislamu hapo.
 
Habari za usiku huu.

Nimeangalia Malumbano ya hoja ITV kuhusu kusitishwa kwa USAid na haya ni maswali Yaliyokosa Majibu ivyo mwenge kujua na asaidie majibu.

1. Ikiwa mtu atahitaji/watanzania wanahitaji kujua izo dawa zikiuzwa zitauzwa kwa bei gani? Au ni sh.ngapi kwa dozi?

2. Eti dawa zikitolewa huwa zinaambatana na chakula, Je ela ya chakula ilikuwa inaenda wapi ikiwa walikuwa wanapewa dawa tu?

3. Dk.Kalulu wa dawa za mitishamba mbona hakupewa airtime ya kutosha kuelezea dawa za asili zinawezaje kusaidia? Au kwa nn ITV hawakuchukua ata mtu Mmoja wa tiba mbadala ili kupata utafiti wao,,?

4. Je, serikali ina mtizamo gani kuhusu wataalam wa afya ambao walikuwa chini ya USAID, je itawapa ajira ili waendelee na kazi zao au ndo wamestaafu ivyo??

5. Je, baada ya miezi3 US ikataka tena kutupa dawa, tutakubali au lah?

6. Je, dawa za ARV zinatolewa/ tengenezwa na US peke ake?

Majibu kwa wajuzi wa mambo
Hiyo no 2 ndiyo mtihani, ndiyo maana Trump kasema watu wanapiga ufisadi sana ngoja asimamishe miezi 3, anataka kupata maswali na majibu, je! Dawa zilikuwa zinatolewa na chakula? Ndiyo maana hawataki dawa ipatikane watakosa ulaji
 
Kwanini USA ndiyo alikuwa anatoa msaada pekee?
Sijajawaona Warusi, China, Iran na nchi zingine za kiislamu hapo.
inategemeana na sera ya nchi husika pamoja na mikataba walio ingia kambuka hakuna cha bure dunia hii
 
Nilichogundua bado watanzania wengi hawana ufahamu kuhusu hi,i agreements, hawana ufahamu kuhusu pesa, watu wengi wanatake pesa individual feeling.
Nimeangalia marumbano ya hoja. Dakika kumi sikumaliza nikaenda kuangalia mpira.
Yaani ni hopeless. Nakuja huku, mtoa thread very hopeless. Hajui hata dawa zinatokea wapi. Kakaa mpaka kaandika chini maswali yasiyo na majibu.

Hajui hata misaada hii ipoje.

Hajui waajiriwa wa USAID ni kina nani, wanafanya nini.
Hajui siku tisini ni za nini.
bado anaanza kuongea kuhusu mtu kajitokeza kwenye TV anasema ana dawa ya kuogesha.
Hopeless kabisa.
 
hahaha msamehe mkuu
 
Unaweza kuwa msomi ila ukawa unatoa hoja sawa na mtoto wa darasa la pili
Soma ulichoandika😀😀😀😀😀
Nilitegemea ungejibu kisomi ila umejibu sawa na mtoto wa darasa la pili. Hongera!
 
Nilichogundua bado watanzania wengi hawana ufahamu kuhusu hi,i agreements, hawana ufahamu kuhusu pesa, watu wengi wanatake pesa individual feeling.
Nimeangalia marumbano ya hoja. Dakika kumi sikumaliza nikaenda kuangalia mpira.
Yaani ni hopeless. Nakuja huku, mtoa thread very hopeless. Hajui hata dawa zinatokea wapi. Kakaa mpaka kaandika chini maswali yasiyo na majibu.

Hajui hata misaada hii ipoje.

Hajui waajiriwa wa USAID ni kina nani, wanafanya nini.
Hajui siku tisini ni za nini.
bado anaanza kuongea kuhusu mtu kajitokeza kwenye TV anasema ana dawa ya kuogesha.
Hopeless kabisa.
Sasa mkuu, hayo asiyoyajua si umjulishe? Hakuna anayejua kila kitu.
 
Back
Top Bottom