evocom
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 258
- 236
Habari za usiku huu.
Nimeangalia Malumbano ya hoja ITV kuhusu kusitishwa kwa USAid na haya ni maswali Yaliyokosa Majibu ivyo mwenge kujua na asaidie majibu.
1. Ikiwa mtu atahitaji/watanzania wanahitaji kujua izo dawa zikiuzwa zitauzwa kwa bei gani? Au ni sh.ngapi kwa dozi?
2. Eti dawa zikitolewa huwa zinaambatana na chakula, Je ela ya chakula ilikuwa inaenda wapi ikiwa walikuwa wanapewa dawa tu?
3. Dk.Kalulu wa dawa za mitishamba mbona hakupewa airtime ya kutosha kuelezea dawa za asili zinawezaje kusaidia? Au kwa nn ITV hawakuchukua ata mtu Mmoja wa tiba mbadala ili kupata utafiti wao,,?
4. Je, serikali ina mtizamo gani kuhusu wataalam wa afya ambao walikuwa chini ya USAID, je itawapa ajira ili waendelee na kazi zao au ndo wamestaafu ivyo??
5. Je, baada ya miezi3 US ikataka tena kutupa dawa, tutakubali au lah?
6. Je, dawa za ARV zinatolewa/ tengenezwa na US peke ake?
Majibu kwa wajuzi wa mambo