Maswali yanayotoka kwenye Tax Management Assistant II ni ya muundo upi?

Maswali yanayotoka kwenye Tax Management Assistant II ni ya muundo upi?

Wababa13

Senior Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
105
Reaction score
70
Habari za muda huu.

Naomba kufahamu kwenye hizi nafasi za kazi TRA kwenye kipengele cha Tax management assistant II ni maswali gani wanatoa na yanatoka kwenye kitabu kipi?

Note:- diploma holder
 
Kweli kabisa hii itasaidia wengi maana interview ya kwanza niliitwa ila nilikosa cheti Og cha kuzaliwa wakanitoa kabisa hata Ndani sikuingia hii ya pili mungu bariki niitwe tena ...
 
wadau me naomba kujua anuani ya kutumia maombi ili niandike kwenye barua
 
wadau me naomba kujua anuani ya kutumia maombi ili niandike kwenye barua
Mbn ipo mwishoni pale kwnye tangazo Ni ya utumishi ndo inatumika.
P.O. Box 2320, University of Dodoma, Utumishi/Asha Rose Migiro Buildings -
Dodoma.
 
Kitambulicho Cha kura ulikuwanacho..?
Kweli kabisa hii itasaidia wengi maana interview ya kwanza niliitwa ila nilikosa cheti Og cha kuzaliwa wakanitoa kabisa hata Ndani sikuingia hii ya pili mungu bariki niitwe tena ...
 
Back
Top Bottom