Maswali yangu kadhaa kwa wataalam wa mambo ya ulinzi na diplomasia kuhusu kinachoendelea huko Haiti

uyo ni top leader wa G9.kuna makundi mengine kama Gpep,four handred Mawozo n,k na wote ni wahuni tu.

ila sio wahuni kama wa tandale au mwananyamala ni wahuni wanaoshika silaha za kivita.
Hahaha hawa wahuni tukiwapeleka katikati ya msitu wa M23 hapo Congo hawatoki hata mmoja. Dakika 30 tu tutakwenda kuokota maiti zao.
 
Hahaha hawa wahuni tukiwapeleka katikati ya msitu wa M23 hapo Congo hawatoki hata mmoja. Dakika 30 tu tutakwenda kuokota maiti zao.
yap ni kweli,wanatamba kwasababu serikali ni kama haipo.kwanza ni bangi,unga na pombe.
ukichunguza kwa kina ni kama jumuiya ya kimataifa inataka wawe hivyo na waendelee kua hivyo.
 
that is failed state,

meaning kwamba nchi na mifumo yake yote ulinzi na usalama imeparalyse. Sio polisi, Jeshi, uhamiaji, magereza ama nini kinafanya kazi 🐒

magenge ya kihalifu yamekua incharge but kwa kauli na vitisho tu 🐒

hakuna tena state organ ambayo iko active kuamrisha au kuelekea nini kifanyike 🐒

hofu imetanda kila kona ya nchi, viongozi wa ngazi mbalimbali wako mafichonib , wamekimbia nchi uhamishoni, wanainchi nao wamesambaa kila moja akinusuru uhai wake 🐒

na katika kutatua mgogoro kama huo,kidiplomasia njia ni 4 tu kama kawaida 🐒
1.Negotiatons
2.Mediations
3.Law/ Arbitrations
4.Military/Force
 
Vyombo vyote hivyo vimesanda
Hakuna cha jeshi,polisi ,usalama
Wahuni wote wameingia mtaani
Raia wakiamua kuangusha dola ni dk sifuri tu

Ova
 
Hapa nimekuelewa, na nafikiri hizo njia 4 ulizoandika hapa ndio lingeweza kuwa suluhisho lao la kudumu.
 
Vyombo vyote hivyo vimesanda
Hakuna cha jeshi,polisi ,usalama
Wahuni wote wameingia mtaani
Raia wakiamua kuangusha dola ni dk sifuri tu

Ova
Kwanza hao ni wahuni tu wanaouza madawa, wanaoishi kwa uhalifu mbali mbali. Sio raia wema, ndiomaana wamekuwa wakifanya mauaji kwa raia hovyo hovyo.

Pili nchi haina jeshi, polisi wala chombo chochote cha usalama kinachojiweza, ndiomaana hao wahuni wanatamba na wasipokuwa makini hao wahuni wataweka viongozi wao wauza madawa wakubwa na wale mateja walioshindikana waongoze nchi. Mwisho kuwatoa itakuwa mziki.
 
Kiongozi wa hilo genge tawala huko Haiti ni afisa wa polisi.

Hii ina maana gani? Yamkini vyombo vya dola vimekula njama ya kuiangusha dola(serikali).
Inawezekana, lakini kwanini wafikie hatua mpaka ya kuuwa raia hovyo hovyo bila sababu za msingi?
 
Sijui amewapa nini sio kwa utii huo, kuwaongoza watu waliodata sio kazi ndogo.
Inasemekana mwamba ana magunia ya bangi, na viloba vya unga nyumbani kwake. Hivyo anawapa tu vijana wajivutie kwa sharti la kumuunga mkono katika harakati zake.
 
Hakuna mtu wa hovyo anayejidharau km wewe. Ingekuwa hivyo wazee wetu km baba wa Taifa wasingefanikiwa kuzipatia nchi zetu uhuru. Una inferiority complex na unajidharau
 
Hakuna mtu wa hovyo anayejidharau km wewe. Ingekuwa hivyo wazee wetu km baba wa Taifa wasingefanikiwa kuzipatia nchi zetu uhuru. Una inferiority complex na unajidharau
Ukweli mchungu daima huwa una kawaida ya kuchoma roho sana kupita kiasi. Aidha, ukweli mchungu pia una kawaida ya kuishi milele, hata kama watu wote wataukataa.
Je, sisi watu weusi leo hii tunaweza kuthibitisha kwamba Pieter W. Botha alisema uwongo kutokana na kauli yake hiyo kwamba watu weusi hawawezi kujitawala wao wenyewe????????Je, huo ni uwongo???
 
Kauli ya Botha kwa asilimia 80 ina ukweli, nikiwa na maana kuwa asilimia 80 ya wanaotuongoza Afrika hawana uwezo wa kuongoza nchi ipasavyo.

Ila asilimia 20 iliyobaki wanaweza kuongoza ila tatizo hawapewi chance ya kuongoza, na ikitokea kupata chance ya kuongoza basi watakumbana na upinzani mkali kutoka kwa ma puppet wa wazungu waliopandikizwa katika nchi za kiafrika, au baadhi ya wale wanaofaidika na uongozi mbovu hivyo mwisho wa siku atafanyiwa kila aina ya hujuma ili aonekane anashindwa. Au ikishindikana kumuangusha kupitia mbinu za ma puppet na waadui zake basi atatengenezewa mazingira ya kuuwawa ili aondoke na kuingia mtu wao.
 
Msijidanganye yale ni magenge yanatumia silaha nzito zaidi hata, ya serikali, yanafadhiliwa mwanasiasa na matajiri, mwenye maslahi maalumu. Na silaha w
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…