Maswali yenye Utata Kifo cha Balozi C. Mushi. Nini kipo nyuma yake?

Ninashawishika kujua alikuwa Tungi kwa kiasi flan since alikuwa na changamoto na maswahibu. Na ndio vyombo vikampa courage ya kuendesha gari mwenyewe. Kumbe tayari alikuwa yuko tracked and tricked.
 
Bara bara ya Chalinze- Segera, is 'the most dangerous road' according to my experience. Bara bara hii ina miinuko na miteremko mikali.
Mwaka 2017 wakati nasafiri kwenda Tanga saa saba usiku, nimekwisha overtake roli nimefika nusu kumbe mbele kuna roli linakuja. Jamaa kunipiga full ndio naliona sasa. Kumbe mwanzo sikuliona kwa kuwa nilikuwa napanda kilima...
 
Kwa hayo maswali, Kwa mtu mwenye Akili ameshajua kama Balozi alinyakuliwa au wamemnyakua!
 
Msambaa uwe makini wasije kukuita kutoa ufafanuzi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwenye mamlaka ya kuingiza namba ya gari kwenye system kujua mmiliki wa chombo ni TRA, polisi na vyombo ya usalama. Sio watu binafsi
 
Kula tunda kinasiharaaa...Kuna utamuu na kadhia zakee
 
As far as wanawakilisha nchi lazima wawe na siri nyingi za Taifa letu zihusuzo uchumi, usalama na ustawi wetu.

Tatizo langu ni moja; pamoja na siri zote hizi mbona tunazidi kuwa maskini kama nchi na tegemezi? Hizo strategic information zinatumikaje?
Zinatumika tuuu kipindi cha uchaguzi kuiba kura
 
Tuiheshimu nature! Huwezi kuforce nature wala huwezi kuizuia nature. Mara nyingi sana wanadamu tunapenda kusikia sababu za kifo hata zisizo za kweli.

1. Walioshuhudia wamesema ajali ilikuwa mbaya na walishindwa kumuokoa mpendwa kutokana moto kuwa mkubwa. Kwa nini hatuulizi hali ya lori?

2. Walijaribu kuuzima na mchanga wakashindwa. Wakaenda kulala, baadaye walikuja polisi. Masshuhuda wanasema hawakujua nani alikuwa ndani ya gari kesho yake ndipo wakasikia redioni aliyekuwa ktk ile gari ni Balozi Mushy.
3..Sasa hao wananchi walioingiza namba ktk mfumo wa TRA ni wa wapi kama mashuhuda walienda kulala bila kujua?

4. Kubwa kabisa; mashuhuda wanasema hilo eneo ni hatari kwani hiyo ni ajali ya tatu ktk kipindi kifupi#Pumzika kwa amani Balozi Mushy. Maneno mengi yanaumiza familia na kuleta uchonganishi tuache.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Watz wengi wakishapata vyeo na pesa( hivi vya kupewa) kinachofata ni kuchezesha nyeti, pombe na starehe tu. Ndio maaana nchi ikp hapa ilipo.
 
Eh alikuwa uswiss tena

Magonjwa Mtambuka

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…