Nimecheka sana kwa mchango wako, : eti mabalozi wanajua siri gani; tafuta CV ya huyu bwana, utajua.Mabalozi wana siri gani za nchi za kuvujisha? Labda kama na yeye alikuwa ni mtu wa idara pia. Wanaokuwa compromised ni watu wanaoujua hizo siri. Sasa jiulize ni nani hao.
Mara nyingi sio rahisi jamii kuwa na wasi wasi juu ya kifo cha mtu mwenye kuplay low key kama Celestine Mushy.KUTOKA KWA MALISA GJ
Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu;
1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake?
2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa Segera na Balozi alikua anaenda uelekeo wa lori lilipotoka. Kama ndivyo hayo makaa ya mawe yalitoka wapi? Tanga, Kilimanjaro, Arusha hata nchi jirani ya Kenya hakuna makaa ya mawe. Makaa ya mawe yapo Mbeya, Rukwa na sehemu za Njombe. Kenya wanatumia makaa ya mawe kuendesha mitambo yao ya viwanda, lakini wanayachukua Mbeya (Kiwira). Hakuna lori linalotoka na makaa ya mawe Kenya kuja Tanzania, bali malori yanayotoka na makaa ya mawe Tanzania kwenda Kenya. Kwahiyo kama Lori lilikua limebeba makaa ya mawe it means lilikua linaenda uelekeo mmoja na Balozi Mushi. Sasa ilikuwaje wagongane uso kwa uso?
3. Gari iliteketea na Balozi Mushi aliungua kiasi cha kutotambulika. Ndugu walimtambua kwa nguo zake. Je hizo nguo zilipatikana sehemu gani ya gari? Ni moto gani unaweza kuchoma gari ikateketea, lakini nguo zikabaki?
4. Inadaiwa mashuhuda walijua ni Balozi Mushi baada ya kuingiza namba za gari kwenye mifumo ya TRA ndipo ikaonesha mmiliki ni Celestine Mushi. Hizo namba walizionaje kama gari iliteketea?
5. Kwanini usiku huo wa ajali kuna ujumbe ulizunguka sana kwenye mitandao ya kijamii, ukisema aliyepata ajali ni mwanamke lakini gari ni ya Balozi Mushi? Nani aliandika ujumbe huo? Lengo lake lilikua nini? Kuiandaa kisaikolojia familia ya Mushi au?
6. Ajali imetokea Mkata, Handeni Vijijini. Wakazi wake wamepata wapi "exposure" ya kuingiza namba kwenye system za TRA ili kumjua mmiliki wa gari? Je huwa wanafanya hivyo kwenye ajali zote au ni hii tu?
7. Kwanini mamlaka za serikali zilikimbilia kutoa pole kabla ya mwili haujafanyiwa uchunguzi. Je ingebainika kuwa sio Balozi Mushi bali alimwazima mtu gari yake, serikali ingefanyaje na ilishatoa salamu za rambirambi?
Anyway; Mungu ampumzishe kwa amani Mhe.Balozi Celestine Mushi. Laa ko oforo mangi.!
Yap nakumbuka jamaa alikuwa katibu/msaidizi wa waziri mkuu lowasa.Mushi ni vijana wa JK, vijana wake aliowapika wakaiva enzi akiwa Waziri wa Mambo ya Nje;
Mushi alikuwa kijana intelligent wa system enzi za JK na Lowassa, alipendwa sana... baadaye alikuja kuwa Msaidizi wa Karibu sana wa Waziri Mkuu Lowassa, baada ya Lowassa kukutana naye New York na kupenda akili zake, akamrudisha nyumbani
Kuna namba ipo hapo juu mkuu ndio ilisambaza ujumbe, kuna mdau kaweka hio message na namba, labda uipige upate jibu la swali lako na mengine mengi.Ilikuwaje awali wakasema ni mwanamke?
hata hayakuhusuKUTOKA KWA MALISA GJ
Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu;
1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake?
2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa Segera na Balozi alikua anaenda uelekeo wa lori lilipotoka. Kama ndivyo hayo makaa ya mawe yalitoka wapi? Tanga, Kilimanjaro, Arusha hata nchi jirani ya Kenya hakuna makaa ya mawe. Makaa ya mawe yapo Mbeya, Rukwa na sehemu za Njombe. Kenya wanatumia makaa ya mawe kuendesha mitambo yao ya viwanda, lakini wanayachukua Mbeya (Kiwira). Hakuna lori linalotoka na makaa ya mawe Kenya kuja Tanzania, bali malori yanayotoka na makaa ya mawe Tanzania kwenda Kenya. Kwahiyo kama Lori lilikua limebeba makaa ya mawe it means lilikua linaenda uelekeo mmoja na Balozi Mushi. Sasa ilikuwaje wagongane uso kwa uso?
3. Gari iliteketea na Balozi Mushi aliungua kiasi cha kutotambulika. Ndugu walimtambua kwa nguo zake. Je hizo nguo zilipatikana sehemu gani ya gari? Ni moto gani unaweza kuchoma gari ikateketea, lakini nguo zikabaki?
4. Inadaiwa mashuhuda walijua ni Balozi Mushi baada ya kuingiza namba za gari kwenye mifumo ya TRA ndipo ikaonesha mmiliki ni Celestine Mushi. Hizo namba walizionaje kama gari iliteketea?
5. Kwanini usiku huo wa ajali kuna ujumbe ulizunguka sana kwenye mitandao ya kijamii, ukisema aliyepata ajali ni mwanamke lakini gari ni ya Balozi Mushi? Nani aliandika ujumbe huo? Lengo lake lilikua nini? Kuiandaa kisaikolojia familia ya Mushi au?
6. Ajali imetokea Mkata, Handeni Vijijini. Wakazi wake wamepata wapi "exposure" ya kuingiza namba kwenye system za TRA ili kumjua mmiliki wa gari? Je huwa wanafanya hivyo kwenye ajali zote au ni hii tu?
7. Kwanini mamlaka za serikali zilikimbilia kutoa pole kabla ya mwili haujafanyiwa uchunguzi. Je ingebainika kuwa sio Balozi Mushi bali alimwazima mtu gari yake, serikali ingefanyaje na ilishatoa salamu za rambirambi?
Anyway; Mungu ampumzishe kwa amani Mhe.Balozi Celestine Mushi. Laa ko oforo mangi.!
weee kauliwa na majambazi gani hayo daah,mhadhiri labda alichukua demu wa jambazi majambazi hayana hurumaNadhani huyu jamaa kauliwa. Sisi wengine tujifunze. NIPO MAZISHINI HAPA KIBOSHO.
alifanya kitu gani kwani wajameni mmmaaa!!!!!Yale yale ya Imran Kombe,
Huyu balozi kama kweli alikuwa na kesi ya ubakaji huko ughaibuni ndio maana akakimbilia nyumbani,aliisha kuwa "compromised"sasa inawezekana waliotaka ku "mrecruit"waliona Bora wamuondoe,au Kuna Siri alivujisha,Idara ikaona huyu hafai Tena,Bora atulizwe milele.
Kwa idara yetu,ambayo ipo bize kuiba kura,na kuilinda ccm,nchi haipo salama,Nina hakika,wanadiplimasia wetu wengi,wapo compromised sana,wanavujisha Siri za nchi,kwa kujua ama kutokujua!!
Sasa sijuhi ni kwa kiwango gani,nchi yetu na systems zipo penetrated.
Kwahiyo kuna nafsi isiyokua na hatia imedhulimiwa huko [emoji116][emoji116]Aliitwa Kwa dharura na Mama. Baada ya hapo ndio yakatokea ya kutokea.
Kuna namna nashawishika Kuna harufu ya uBalali.
huyu hakuibuka tu kuwa balozi. Alikuwa mwenye kujua siri za ndani toka enzi za kikwete.Mabalozi wana siri gani za nchi za kuvujisha? Labda kama na yeye alikuwa ni mtu wa idara pia. Wanaokuwa compromised ni watu wanaoujua hizo siri. Sasa jiulize ni nani hao
Naona unajenga hoja za kulinda ugali!!AhaaaaIngawaje kupata katiba mpya ni jambo la muhimu na lazima, lakini katiba mpya haiwezi kutatua matatizo yote ya nchi. Kila kitu katiba ni jibu, kama wasemavyo walolkole yesu ni jibu. Naona tutangaze tu, katiba ni jibu.
Hata Marekani wenye katiba nzuri, bado watu kama Trump wanapenya na kuwa maraisi. Au tutakuwa na katiba yenye kurasa maelfu, malaki na mamilioni ambayo itakuwa na kila kitu na sheria zote hata zile za kukataza kukojoa ovyo au hadharani. Yaani sasa hivi jibu la kila changa moto hata ile ya kujamba kwenye basi lilojaa abiria jibu lake ni KATIBA MPYA. Are we serious!
Huna kazi ya kufanya? Upoyoyo wote huu siyo buKUTOKA KWA MALISA GJ
Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu;
1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake?
2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa Segera na Balozi alikua anaenda uelekeo wa lori lilipotoka. Kama ndivyo hayo makaa ya mawe yalitoka wapi? Tanga, Kilimanjaro, Arusha hata nchi jirani ya Kenya hakuna makaa ya mawe. Makaa ya mawe yapo Mbeya, Rukwa na sehemu za Njombe. Kenya wanatumia makaa ya mawe kuendesha mitambo yao ya viwanda, lakini wanayachukua Mbeya (Kiwira). Hakuna lori linalotoka na makaa ya mawe Kenya kuja Tanzania, bali malori yanayotoka na makaa ya mawe Tanzania kwenda Kenya. Kwahiyo kama Lori lilikua limebeba makaa ya mawe it means lilikua linaenda uelekeo mmoja na Balozi Mushi. Sasa ilikuwaje wagongane uso kwa uso?
3. Gari iliteketea na Balozi Mushi aliungua kiasi cha kutotambulika. Ndugu walimtambua kwa nguo zake. Je hizo nguo zilipatikana sehemu gani ya gari? Ni moto gani unaweza kuchoma gari ikateketea, lakini nguo zikabaki?
4. Inadaiwa mashuhuda walijua ni Balozi Mushi baada ya kuingiza namba za gari kwenye mifumo ya TRA ndipo ikaonesha mmiliki ni Celestine Mushi. Hizo namba walizionaje kama gari iliteketea?
5. Kwanini usiku huo wa ajali kuna ujumbe ulizunguka sana kwenye mitandao ya kijamii, ukisema aliyepata ajali ni mwanamke lakini gari ni ya Balozi Mushi? Nani aliandika ujumbe huo? Lengo lake lilikua nini? Kuiandaa kisaikolojia familia ya Mushi au?
6. Ajali imetokea Mkata, Handeni Vijijini. Wakazi wake wamepata wapi "exposure" ya kuingiza namba kwenye system za TRA ili kumjua mmiliki wa gari? Je huwa wanafanya hivyo kwenye ajali zote au ni hii tu?
7. Kwanini mamlaka za serikali zilikimbilia kutoa pole kabla ya mwili haujafanyiwa uchunguzi. Je ingebainika kuwa sio Balozi Mushi bali alimwazima mtu gari yake, serikali ingefanyaje na ilishatoa salamu za rambirambi?
Anyway; Mungu ampumzishe kwa amani Mhe.Balozi Celestine Mushi. Laa ko oforo mangi.!
Huna kazi ya kufanya? Unapoteza kweli muda unaandika huu upoyo? Katafute kazi ya kufanya. Ajali zingine zinshababishwa na nini. Ajali ni ajali km kuna uzembe aliufnya ni yeye. Nani alimlazimisha kusafiri usiku ulevi wake tu. Km ye ndio alibaka serikali inahusika nini, anastasia kesi imeisha.KUTOKA KWA MALISA GJ
Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu;
1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake?
2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa Segera na Balozi alikua anaenda uelekeo wa lori lilipotoka. Kama ndivyo hayo makaa ya mawe yalitoka wapi? Tanga, Kilimanjaro, Arusha hata nchi jirani ya Kenya hakuna makaa ya mawe. Makaa ya mawe yapo Mbeya, Rukwa na sehemu za Njombe. Kenya wanatumia makaa ya mawe kuendesha mitambo yao ya viwanda, lakini wanayachukua Mbeya (Kiwira). Hakuna lori linalotoka na makaa ya mawe Kenya kuja Tanzania, bali malori yanayotoka na makaa ya mawe Tanzania kwenda Kenya. Kwahiyo kama Lori lilikua limebeba makaa ya mawe it means lilikua linaenda uelekeo mmoja na Balozi Mushi. Sasa ilikuwaje wagongane uso kwa uso?
3. Gari iliteketea na Balozi Mushi aliungua kiasi cha kutotambulika. Ndugu walimtambua kwa nguo zake. Je hizo nguo zilipatikana sehemu gani ya gari? Ni moto gani unaweza kuchoma gari ikateketea, lakini nguo zikabaki?
4. Inadaiwa mashuhuda walijua ni Balozi Mushi baada ya kuingiza namba za gari kwenye mifumo ya TRA ndipo ikaonesha mmiliki ni Celestine Mushi. Hizo namba walizionaje kama gari iliteketea?
5. Kwanini usiku huo wa ajali kuna ujumbe ulizunguka sana kwenye mitandao ya kijamii, ukisema aliyepata ajali ni mwanamke lakini gari ni ya Balozi Mushi? Nani aliandika ujumbe huo? Lengo lake lilikua nini? Kuiandaa kisaikolojia familia ya Mushi au?
6. Ajali imetokea Mkata, Handeni Vijijini. Wakazi wake wamepata wapi "exposure" ya kuingiza namba kwenye system za TRA ili kumjua mmiliki wa gari? Je huwa wanafanya hivyo kwenye ajali zote au ni hii tu?
7. Kwanini mamlaka za serikali zilikimbilia kutoa pole kabla ya mwili haujafanyiwa uchunguzi. Je ingebainika kuwa sio Balozi Mushi bali alimwazima mtu gari yake, serikali ingefanyaje na ilishatoa salamu za rambirambi?
Anyway; Mungu ampumzishe kwa amani Mhe.Balozi Celestine Mushi. Laa ko oforo mangi.!
Kesi ya kubaka ulaya ni nooma,mmhh alfu ni balozi mhh,taarifa hii ,mmhh .....So kwamba atoroke Ulaya aje kuuliwa Bongo?? Alafu ulaya wanajikuta wana empower sana wanawake makesi mengine ya kifalaa kama haya yanaumiza watuu...
Of course kwa totoz hakuna skirt inapita mbele yake aiache; hizo story zinazopita kwamba alibaka sishangai, japo mi naamini alikula tu mzungu wakazinguana maslahi labdaYap nakumbuka jamaa alikuwa katibu/msaidizi wa waziri mkuu lowasa.
Jamaa mtu wa totozi sana alikuwa anamkula hoisi temu akamuunganisha kazi UN zen akamconect kwenye ubalozi.
Jamaa alikuwa muhunimuhuni flani
Wacha weeeeMushi ni vijana wa JK, vijana wake aliowapika wakaiva enzi akiwa Waziri wa Mambo ya Nje;
Mushi alikuwa kijana intelligent wa system enzi za JK na Lowassa, alipendwa sana... baadaye alikuja kuwa Msaidizi wa Karibu sana wa Waziri Mkuu Lowassa, baada ya Lowassa kukutana naye New York na kupenda akili zake, akamrudisha nyumbani
Wachaaa weeKimsingi huwezi kuwa balozi kama hujapelekwa kwenye kozi za usalama wa taifa na humo ndani Kuna ngazi halafu jamaa mbona hata kawaida tu unaona alikuwa kipenyo
Nmecheka sana cmnt za watu humuHuna kazi ya kufanya? Upoyoyo wote huu siyo bu
Huna kazi ya kufanya? Unapoteza kweli muda unaandika huu upoyo? Katafute kazi ya kufanya. Ajali zingine zinshababishwa na nini. Ajali ni ajali km kuna uzembe aliufnya ni yeye. Nani alimlazimisha kusafiri usiku ulevi wake tu. Km ye ndio alibaka serikali inahusika nini, anastasia kesi imeisha.