Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,021
- 22,016
Ili ni kundi lingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe Scenerio zote za uvukaji wa kundi hili ... Katika Poisonous Probability distribution ni pale tu atakaposhinda akishinda Berkane..ndio wote wamepotea... Jikite na mdako....
Nipe Scenerio zote za uvukaji wa kundi hili ... Katika Poisonous Probability distribution ni pale tu atakaposhinda akishinda Berkane..ndio wote wamepotea... Jikite na mdako....
Mbona hawajacheza muda mmoja?Ili ni kundi lingine
Kumbe nabishana na jinga la duniaNipe Scenerio zote za uvukaji wa kundi hili ... Katika Poisonous Probability distribution ni pale tu atakaposhinda akishinda Berkane..ndio wote wamepotea... Jikite na mdako....
Juzi mnakumbuka mara baada ya taarifa kutoka ya mechi kusogezwa SAA 4 mlituambia nini? Leo naposema ukweli tuwaeleweje kwa uongo wa juzi?Mechi haikuhairishwa muda na Simba, imebadilishwa na CAF kuepusha match fixing. Ikumbukwe kuwa yeyote kwenye kundi anaweza kufuzu.
Achana na matamko ya hapa bongo. Tafuta taarifa kutoka nje ya bongo angalau utaelewa kiundani. Taarifa nyingi za huku ziko biasedJuzi mnakumbuka mara baada ya taarifa kutoka ya mechi kusogezwa SAA 4 mlituambia nini? Leo naposema ukweli tuwaeleweje kwa uongo wa juzi?
Mbona hawajacheza muda mmoja?
Mamelodi alishafuzu lakini na timu zingine 3 zilikuwa na nafasi ya kufuzuCaf alisema iwe hivyo. Mamelodi alikwisha fuzh
Umekuja Dar juzi unajiona unaifahamu keko saanaa!Mechi kati Simba vs US Gendamarie itachezwa saa 4 usiku siku ya jumapili kuamkia jumatatu siku ya kazi.
Hii ni mara yetu ya kwanza kuwa na kitu kama hiki nchini kwetu. Inafahamika kuwa Uwanja wa Mkapa uko pembeni mwa jiji hasa kwa watu wanaotoka Ilala, Kinondoni, Ubungo, Kawe, Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe, Mlandizi na sehemu nyingine nchini.
Inafahamika kuwa maeneo yale ya Keko, Tandika, Mbagala na vitongoji vinavyouzunguuka uwaja kuna vibaka wengi hata siku za kawaida tu mchana sembuse usiku wa saa 6? Hawa ni watu ambao wanapora, wanachomoa mifukoni, ndani ya magari na hata vifaa vya magari kama taa, power window, rims, redio, nk.
Inafahamika pia usafiri wa umma kwenye routes zote ndani ya jiji na vitongoji vyake haufiki saa 6 usiku, na hata kama utalazimisha ufike saa 6 usiku basi utahangaika na madereva waliochoka sana wenye usingizi, au sivyo madaladala yataendeshwa na madei waka na kusababisha ajali.
Hivyo uhakikisho wa usalama wa watanzania watakaokwenda kutizama mechi saa 4 usiku na kutoka saa 7 usiku ni vizuri utolewe na serikali kupitia waziri wa michezo, mambo ya ndani, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya Temeke, IGP, RPC na kiongozi wa umoja wa madaladala Dar badala ya kuachiwa Simba kupitia msemaji wao Ahmed Ally kusema ooooh usalama utakuwepo, oooo usafiri mpaka kibaha utakuwepo, oooo msiwe na hofu, oooo hivi oo vile.
Ni vizuri watu wakashauriwa wale ambao hawana usafiri binafsi wakachanga kukodi magari kwa bei ya makubaliano ili wawe na uhakika wa kuja na kuondoka na usafiri wao bila kulazimika kugombania magari ambayo obvious yatakuwa machache sana, baadhi ya maeneo hayatakuwa na usafiri kabisa. Na vibaka wanapendelea sana watu wanapokuwa kwenye msongamano wa kugombea kuingia uwanjani au kwenye magari. Badala ya Ahmed kuwaaminisha yeye watu kuwa usalama na usafiri utakuwa wa kutosha ni heri tu kuwaambia ukweli watu waangalie mechi kwenye luninga zao nyumbani na vibanda umiza.
Hii kwetu ni mara ya kwanza hivyo hatuwezi kukadiria itakuwaje, inawezekana ni hofu TU, lakini wasiwasi ndio akili. Mimi ni mtaalam wa mambo ya risks management. Huwezi kusubiri litokee ndio uanze kufanya jambo.Kwani Tanzania kuna waasi? Kuna vita? Nchi nyingine wanawezaje?
Eti nawe unajuwa!!! Kutoka keko kwenda uwanjani na sabasaba huhitaji kipando.Umekuja Dar juzi unajiona unaifahamu keko saanaa!
Sio kila anayeenda mkapa stadium lazima apitie keko, huko keko kunaishi watu na masaa 24/7 wanafanya shughuli zao kama kawaida
Wewe ni utopolo kaa kimya, tuachie simba yetu
Mamelodi alishafuzu lakini na timu zingine 3 zilikuwa na nafasi ya kufuzu
IMETUMIKA SIASA KUBWA SANA BAADA YA KUCHUKUA HELA ZA VIINGILIO WANAKUJA NA KAULI NYEPESI SANA Kusema ooooh usalama utakuwepo, oooo usafiri mpaka kibaha utakuwepo, oooo msiwe na hofu, oooo hivi oo vile.
Magari yenyewe kwa usiku ule usitarajie nauli itakuwa 400, 500, 600 na 750 hizi tulizozoea, hapo ni kuanzia buku, 2000, 3000 hadi 5000 huko na mida hiyo watu wamechoka sana sijui umakini utakuwepo wa namna gani tena ndio bahati mbaya 'thimba atolewe" ndio kabisa mvurugano
Usalama utakaokuwepo sidhani kama utatosha na ndio maana nahofu watu wengi wataangalia majumbani au kwenye vibandaumiza kuliko kuchoma nauli na kiingilio hadi Taifa
Ukimuuliza msemaji barua ya makubaliano ya kubadili muda utaanzisha vita ingine😀