Maswali yote kuhusu mechi ya Simba kuchezwa saa 4 usiku asiachiwe Ahamed Ally kuyajibu

Nipe Scenerio zote za uvukaji wa kundi hili ... Katika Poisonous Probability distribution ni pale tu atakaposhinda akishinda Berkane..ndio wote wamepotea... Jikite na mdako....
Nipe Scenerio zote za uvukaji wa kundi hili ... Katika Poisonous Probability distribution ni pale tu atakaposhinda akishinda Berkane..ndio wote wamepotea... Jikite na mdako....
 
Mechi haikuhairishwa muda na Simba, imebadilishwa na CAF kuepusha match fixing. Ikumbukwe kuwa yeyote kwenye kundi anaweza kufuzu.
Juzi mnakumbuka mara baada ya taarifa kutoka ya mechi kusogezwa SAA 4 mlituambia nini? Leo naposema ukweli tuwaeleweje kwa uongo wa juzi?
 
Juzi mnakumbuka mara baada ya taarifa kutoka ya mechi kusogezwa SAA 4 mlituambia nini? Leo naposema ukweli tuwaeleweje kwa uongo wa juzi?
Achana na matamko ya hapa bongo. Tafuta taarifa kutoka nje ya bongo angalau utaelewa kiundani. Taarifa nyingi za huku ziko biased
 
Umekuja Dar juzi unajiona unaifahamu keko saanaa!
Sio kila anayeenda mkapa stadium lazima apitie keko, huko keko kunaishi watu na masaa 24/7 wanafanya shughuli zao kama kawaida

Wewe ni utopolo kaa kimya, tuachie simba yetu
 
Kwani Tanzania kuna waasi? Kuna vita? Nchi nyingine wanawezaje?
Hii kwetu ni mara ya kwanza hivyo hatuwezi kukadiria itakuwaje, inawezekana ni hofu TU, lakini wasiwasi ndio akili. Mimi ni mtaalam wa mambo ya risks management. Huwezi kusubiri litokee ndio uanze kufanya jambo.
 
Umekuja Dar juzi unajiona unaifahamu keko saanaa!
Sio kila anayeenda mkapa stadium lazima apitie keko, huko keko kunaishi watu na masaa 24/7 wanafanya shughuli zao kama kawaida

Wewe ni utopolo kaa kimya, tuachie simba yetu
Eti nawe unajuwa!!! Kutoka keko kwenda uwanjani na sabasaba huhitaji kipando.
 
Watu wa Dar mnalalamika sana kama mke mwenye mimba.
Sasa nauli ya 5000/= ni kitu gani iwapo watu wanatoka Mwanza kuja kuangalia mechi?
Acheni utoto bhana mkue kidogo
 
Watu wa Dar mnalalamika sana kama mke mwenye mimba.
Sasa nauli ya 5000/= ni kitu gani iwapo watu wanatoka Mwanza kuja kuangalia mechi?
Acheni utoto bhana mkue kidogo
Mbona kiingilio ni 3000, walizingatia nn? Acha uzuzu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…