utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
Wangoje mama afanye kazi tutamhukumu baada ya miaka 5,sasa wenyew mapema hivi wanaanza kutoa sauti.Mbona CCM ASILIA walivumilia nao wavumilie tuWatulie sindano iingie. Tangu juzi wanabweka humu mitandaoni. Oooh kenya hivi, oooh Kenya vile. Mitano tena na kazi iendeleee!
Taratibu tutauelewa mchezo wasiwe na harakaWajue tu Sasa ni kucheza ngoma kwa kudemka,na sii kucheza ngoma huku mtutu mkononi.
[emoji123][emoji123]View attachment 1775101
Fungua Nchi Mama ili tuende kwenye Fainali Istanbul.
Kabisa aiseemaharage yakianza kuiva huwa yanarukaruka
yakishaiva yanatulia tuli
[emoji24][emoji24]Tagas wametoa macho kama yule mgogo mgonga meza aliyetolewa jalalani.
Mzunguko upo upande wa CCM ASILIA wangetulia tuMataga hawataki kukubali kuwa dunia ni duara.
Hakuna kipindi nafurahia sana ninapo waona mataga wakitokwa na mapovu kutwa mzima.Watulie sindano iingie. Tangu juzi wanabweka humu mitandaoni. Oooh kenya hivi, oooh Kenya vile. Mitano tena na kazi iendeleee!
HakikaWangoje mama afanye kazi tutamhukumu baada ya miaka 5,sasa wenyew mapema hivi wanaanza kutoa sauti.Mbona CCM ASILIA walivumilia nao wavumilie tu
Walizoea kucheza ngoma huku roho zetu zipo mikononiWajue tu Sasa ni kucheza ngoma kwa kudemka,na sii kucheza ngoma huku mtutu mkononi.
Mataga sasa hivi yamekuwa sawa na sungura mwenye njaaView attachment 1775101
Fungua Nchi Mama ili tuende kwenye Fainali Istanbul.
Nawashauri ili hasira ziwapungue wale nyasi .Mataga sasa hivi yamekuwa sawa na sungura mwenye njaa