utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,849
- 2,508
- Thread starter
- #81
Mataga mataga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆😆Habari ndugu zanguni,
Nimeona mijadala mingi sana mitandaoni ambayo ukiangalia kwa wingi ni wale ndugu zetu ambao wamekuwa wakikosoa mienendo ya Rais wetu Mama Samia katika ziara yake nchini Kenya.
Lakini sisi watu wa kufikiria mbali tumeona kumbe watu wa mwendazake wamekuwa wanapinga mengi ya mama sababu wanaamini yanaenda tofauti na misingi iliyojengwa na Mwendazake, lakini wamesahau kuwa kila Rais ana namna ya uendeshaje wake wa nchi.
Nilichokiona Mama na Mwendazake ni vitu viwili tofauti kabisa.Ssa kama tulicheza ngoma kama Mataga inatakiwa tukubali kucheza ngoma ya Asilia maana wamerudisha kijiti chao.
TUWE WATULIVU NA TUACHE KAZI IENDELEE.
Kazi iendelee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nadhani ndani ya miaka 2 kutakuwa na mabadiliko kiuchumiWangoje mama afanye kazi tutamhukumu baada ya miaka 5,sasa wenyew mapema hivi wanaanza kutoa sauti.Mbona CCM ASILIA walivumilia nao wavumilie tu
Kabisa kabisa kikubwa kuomba munguNahani ndani ya miaka 2 kutakuwa na mabadiliko kiuchumi