MATAGA kuweni watulivu mitandaoni, sasa ni zamu ya Asilia

MATAGA kuweni watulivu mitandaoni, sasa ni zamu ya Asilia

Habari ndugu zanguni,

Nimeona mijadala mingi sana mitandaoni ambayo ukiangalia kwa wingi ni wale ndugu zetu ambao wamekuwa wakikosoa mienendo ya Rais wetu Mama Samia katika ziara yake nchini Kenya.

Lakini sisi watu wa kufikiria mbali tumeona kumbe watu wa mwendazake wamekuwa wanapinga mengi ya mama sababu wanaamini yanaenda tofauti na misingi iliyojengwa na mwendazake, lakini wamesahau kuwa kila Rais ana namna ya uendeshaje wake wa nchi.

Nilichokiona Mama na Mwendazake ni vitu viwili tofauti kabisa.Ssa kama tulicheza ngoma kama Mataga inatakiwa tukubali kucheza ngoma ya Asilia maana wamerudisha kijiti chao.

TUWE WATULIVU NA TUACHE KAZI IENDELEE.
Kwani nguli Pascal Mayalla yeye anasemaje?
 
Angalao CCM ASILIA is back sisi kama Wapinzani hili Zimwi linatujua

Kulikuwa na Demokrasia wakati wa CCM ASILIA angalao japo ilikuwa haitoshi

Kulikuwa na mchakato wa Katiba Mpya wakati wa CCM ASILIA

CCM ya Mataga isirudi tena Daima imeinajisi TANZANIA yetu.
Mataga ndio watawapelekea moto hapo 2025 hadi mkome
 
_118276759_gettyimages-1309319694.jpg

Mama, hawa TANU wakikusumbua sana, ondoka na AfroShirazi yako tuone watakavyofurukuta na Kukata roho.
 
Mataga walizoea kusafisha mikojo ya mzee wa camera leo biashara ile imekufa hakuna tena kutembea na maburungutu,mitutu ya bunduki plus helkopta juu utadhani tupo iraq, Hakuna dili za kununua mapapai chips kuku samaki mahindi zilishapita.Hii inawasononesha Sana Mataga
 
Habari ndugu zanguni,

Nimeona mijadala mingi sana mitandaoni ambayo ukiangalia kwa wingi ni wale ndugu zetu ambao wamekuwa wakikosoa mienendo ya Rais wetu Mama Samia katika ziara yake nchini Kenya.

Lakini sisi watu wa kufikiria mbali tumeona kumbe watu wa mwendazake wamekuwa wanapinga mengi ya mama sababu wanaamini yanaenda tofauti na misingi iliyojengwa na mwendazake, lakini wamesahau kuwa kila Rais ana namna ya uendeshaje wake wa nchi.

Nilichokiona Mama na Mwendazake ni vitu viwili tofauti kabisa.Ssa kama tulicheza ngoma kama Mataga inatakiwa tukubali kucheza ngoma ya Asilia maana wamerudisha kijiti chao.

TUWE WATULIVU NA TUACHE KAZI IENDELEE.
Nyumbu wameachana na Lisu sasa hivi wanatimua mbio kuelekea ccm kwa mama Samia.
 
Back
Top Bottom