IDEGENDA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 4,505
- 5,343
Kwahiyo bavicha sasa hivi mmecover nafasi ya mataga?Mataga sasa hivi yamekuwa sawa na sungura mwenye njaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo bavicha sasa hivi mmecover nafasi ya mataga?Mataga sasa hivi yamekuwa sawa na sungura mwenye njaa
Wasisahau na limau kuounguza kiungulia maana huu siyo muda wao tenaNawashauri ili hasira ziwapungue wale nyasi .
Kuwa na heshima kila siku miaka na miaka nawaambia mimi CCM ASILIA,nimekulia ndani ya chama nyie wajaji ndio mnapiga kelele kipindi cha mama.Mtulie dawa iwaingie[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahiyo bavicha sasa hivi mmechukua nafasi ya mataga?
Kwani tafa og mmenuna wakati huu,keanu mnachukia kupata wakuwasaidieni kazi mliyoifanya kwa muda mrefu.au sasa ganpati maslahi yenu mmesusa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kwahiyo bavicha sasa hivi mmechukua nafasi ya mataga?
Hilo ndiyo linawafanya wamwage povu kama kiwanda cha fomaMzunguko upo upande wa CCM ASILIA wangetulia tu
Ata wana Appetite sasa?!Nawashauri ili hasira ziwapungue wale nyasi .
You nailed it Mkuu....Watulie sindano iingie...tangu juzi wanabweka humu mitandaoni ..oooh kenya hivi...oooh kenya vile..mamaeh mitano tena na kazi iendeleee
[emoji3][emoji3]Hilo ndiyo linawafanya wamwage povu kama kiwanda cha foma
Wewe unamsindikiza city kuchukua ndoo yakeView attachment 1775101
Fungua Nchi Mama ili tuende kwenye Fainali Istanbul.
[emoji123][emoji123][emoji123]Angalao CCM ASILIA is back sisi kama Wapinzani hili Zimwi linatujua
Kulikuwa na Demokrasia wakati wa CCM ASILIA angalao japo ilikuwa haitoshi
Kulikuwa na mchakato wa Katiba Mpya wakati wa CCM ASILIA
CCM ya Mataga isirudi tena Daima imeinajisi TANZANIA yetu.
Mbona Liverpool huwa mna kiroho papo😁Wewe unamsindikiza city kuchukua ndoo yake
Mataga hawataki hali ya utangamano wao wanataka wajifingie mahali waanze kuuza umbea na uongo ili kumjaza fitina mkuu.Angalao CCM ASILIA is back sisi kama Wapinzani hili Zimwi linatujua
Kulikuwa na Demokrasia wakati wa CCM ASILIA angalao japo ilikuwa haitoshi
Kulikuwa na mchakato wa Katiba Mpya wakati wa CCM ASILIA
CCM ya Mataga isirudi tena Daima imeinajisi TANZANIA yetu.
Mtori wenyewe ni wa nyama ya kusaga. Asa itakuaje? 🤷♀️MATAGA wanywe mtori kwa bidii, kama wanataka vipande vya nyama ndani yake watavikuta mbele ya safari.
Hamna mtu wa ku cover nafasi ya mataga maana nafasi yao imekufa baada ya magu kufa.Kwahiyo bavicha sasa hivi mmecover nafasi ya mataga?
Mataga ni ccm haramu (wahamiaji haramu) watuachie chama chetu,.... Naenda kulipia kadi zangu nilizosusa kulipia miaka kadhaa hapo nyuma.... Nisingeweza kuambatana na shetani kamweKuwa na heshima kila siku miaka na miaka nawaambia mimi CCM ASILIA,nimekulia ndani ya chama nyie wajaji ndio mnapiga kelele kipindi cha mama.Mtulie dawa iwaingie