MATAGA kuweni watulivu mitandaoni, sasa ni zamu ya Asilia

Ni watu wa hovyo sn mkuu
 
Basi mikumi kabisa ...hapo vepeee
Atake asitake tutamuongezea atawale milele.Nani kama mama kariakoo yetu inarudi,bei ya korosho itakuwa juu, bureau de change zitarudi, wasiojulikana likizo ya milele,uhuru wa habari umerudi thus hatuna haja ya kumfollow kigogo tena,mipaka inafunguliwa tunauza tutakapo.
 
[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Mataga watakoma nza roho zao mbaya.
 
Nyumbu wameachana na Lisu sasa hivi wanatimua mbio kuelekea ccm kwa mama Samia.
Mwenda zake mmeshamgeuka?? Nyie kweli mafisi. mlimsifia sana sasa ametupwa kuzimu mnamgeuka?
 
Wamekula.sana mikojo ya wazee. Mataha huwa ni watu wasio na kazi maalum. Wanamvizia vizia fursa za hapa na pale. Akina Deo Sanga🤣
 
Wamekula.sana mikojo ya wazee. Mataha huwa ni watu wasio na kazi maalum. Wanamvizia vizia fursa za hapa na pale. Akina Deo Sanga🤣
Hao wote Wana miaka 3 tu ya ubunge iliyobaki 90% Hakuna atakae rudi bungeni,thus walitaka katiba ibadilishwe kwa maslai yao na si ya taifa.
 
Mataga walishazoea kuona maiti zikielea baharini hizo mambo hazipo tena.Tupo salama salmini na mama.Kumi tena kwa mama.
 


Fungua Milango Mama tupate Ajira Huyo Veronika France anabebwa na haohao 'akina kikulacho' uko nao hapo ila Please mwache alalame wewe Fungua Nchi hao wapingaji wa mitandaoni watakuunga mkono tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…