MATAGA tunaomba radhi kwa kupotosha watanzania kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi safi kabisa

#matege?
 
Mkuu,sisi tulikuwa idara ya propaganda, tunapangiwa mtu was kumtukana, hoja ya kushambulia, jioni tunatuma screenshot tunapata posho. Tuliambiwa mkuu wa tano na nne hawaelewani,tuukwamishe na tujaze uongo,uzandiki mpaka jamii ikubali
Veronica France ni mwenzako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo hii nchi miktaba ni siri...hata ikiwa na utata amri ikitoka juu hakuna wa kupinga.

Siwezi ongea chochote bila kujua kilichomo ndani ya mkataba
 
Wewe km nani?
 
Kuna Watu walitaka kuikosesha Nchi fursa ya Miaka zaid ya 300 kwa chuki zao kwa Mzee mmoja mwenye miaka zaid ya 70 ambae hata faida ya mradi huo hatoiona
 
Wakijibu hilo swali ndo Kazi iendelee.
 
Mkuu, hivi vilitengenezwa na tukaamuriwa kuvipiga promo,sio kweli
 
Mataga wote wangekuwa na akili kiwango hicho Watanzania na taifa lingekuwa limepiga hatua kubwa Sana.
 
Kuna mwaka utakuja kuomba radhi kwa kuufagilia huo mradi. Ni suala la wakati tu.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tunahitaji mkataba tu.Kweli kikwete anaongoza nchi hii kwa sasa.Kikwete aliwaibia gesi.Mkataba upo wapi wa gesi?
 
Mkuu,sisi tulikuwa idara ya propaganda, tunapangiwa mtu was kumtukana, hoja ya kushambulia, jioni tunatuma screenshot tunapata posho. Tuliambiwa mkuu wa tano na nne hawaelewani,tuukwamishe na tujaze uongo,uzandiki mpaka jamii ikubali
Vijana, kazi zingine lazima kuwa makini Nazo sana. Ya kina Sabaya, ya Interahamwe nk. Nk. Mifano ni mingi sana. So take care!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…