Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha

Mataifa 10 ya Afrika yenye viwango vya juu vya ubora wa maisha

Kenya?!!!! Kwa lipi?

Mm naona wabongo tunaishi vizuri kuliiko wakenya
Uzuri upi bongo ndg yangu?
Kenya ni wapambanaji sana huwezi kulinganisha na wabongo.
Kenya wako mbali sana wakuu.

Pili huduma za jamii Kenya zipo juu na hiki ni moja ya kigezo...elimu, hospitali, miundombinu nk

Hata makusanyo yao ya kodi wametupita zaidi ya mara mbili.
Hebu fuatilia uone
 
Pili huduma za jamii Kenya zipo juu na hiki ni moja ya kigezo...elimu, hospitali, miundombinu nk
Ahaa! Kama hiki ni moja ya vigezo basi ni sawa. Maana wao SGR unafanya kazi, hosp zao ni (mf. Nairobi Hospital) ninkimbilio la nchi nyingi za Afrika mashariki na kati wakiwemo viongozi.

Lisu alipelekwa Nairobi
JPM alipelekwa Nairobi
Nkurunzinza alipelekwa Nairobi
 
Naam wanapoongelea ubor wa maisha vigezo vikuu;
-wastani wa kipato cha mtu mmoja mmoja.
-Huduma bora za jamii
- makazi bora nk.

Note: hakuna maskini mwenye furaha...ni maigizo tu
 
Ukifanya study utagundua waafrika walikuwa na unafuu wa maisha kabla ya UHURU. Baada ya UHURU Hakuna nchi ya kiafrica iliyoweza kuleta unafuu wa maisha kwa raia wake. Angalau kidogo nchi za kaskazin Mwa afrika.
Upande wa Zambia naunga mkono hoja,..mpaka natamani kuhamia huko.,..wale jamaa hawana complications za ajabu ajabu.
 
Wapigania UHURU waliwadanganya waafrika wawasapoti kuwafurusha wakoloni baada ya UHURU watakula mema ya nchi matokeo yake wao ndio wanakula mema ya nchi
 
Kenya pana nini?

Lissu alipelekwa kenya
Nkuruzinza alipelekwa Kenya
Magufuli alipelekwa Kenya akafia huko, ndio wakamrudisha.
Inamaana taasisi zetu wenyewe hatuziamini 😁😁
Ninachofahamu lissu alipelekwa huku kwa issue za usalama wake!
 
Back
Top Bottom