Mataifa 25 masikini zaidi haya hapa. Ndugu zetu Uganda, Rwanda, Ethiopia watachomoka lini humu?

Mataifa 25 masikini zaidi haya hapa. Ndugu zetu Uganda, Rwanda, Ethiopia watachomoka lini humu?

Uganda wanachomoka hapo very soon ukiangalia wese walilonalo!
Wese na gesi ktk nchi zetu hazijawahi kuchomoa nchi zetu ktk lindi la umasikini.

Wewe una data zinazo onesha gesi imwtunufaishaje kama nchi?
 
Mkiwa na magufuli hadi 2025 sioni mkitoka kundi la poorest countries on this planet. Foreign aid mtaendelea kupokea. Foreign aid hupewa nchi ambazo hazijiwezi kama Tanzania.
LOL si bora sisi tunapewa foreign aid ninyi mnapewa foreign foods na bado hamkomi kufa njaa.

Hivi kwanini wakenya mnamuogopa Magufuli hivi? Survey yangu inaonesha wakenya hawataki kabisa Magufuli aendelee kuwa Rais wa Tanzania, yaani huyu Magufuli aliefanya tuingie uchumi wa kati 5 years earlier? 😅😅😅😅

Kaeni mkao wa kukerwa zaidi na Magufuli
 

Attachments

  • Screenshot_20201007-070021_Chrome.jpg
    Screenshot_20201007-070021_Chrome.jpg
    80.9 KB · Views: 1
Mkiwa na magufuli hadi 2025 sioni mkitoka kundi la poorest countries on this planet. Foreign aid mtaendelea kupokea. Foreign aid hupewa nchi ambazo hazijiwezi kama Tanzania.
Wakati huo nyie fukara mtaendelea kupokea misada ya chakula mpka dunia isimame....Na Chuma Magu atawanyosha hatoki mpka muombe pooh....unafikiri ela ya bure ya hao mabwana zenu tutaiacha....hatuiachi hata senti na middle income hatutoka infact tunaitafuta upper middle[emoji91][emoji91][emoji91] hatuna mda wa kudeal na vizuu km nyie[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji706]
 
Kenya is poorer than Nairobi. Kwa hiyo ukiongelea maendeleo watakupa mfano wa Nairobi hakuna kingine. 😂😂😂
 
Zikiwa 30 hamkosekani so shut up
Unamanisha hivi[emoji23][emoji23][emoji116] hawa wala wasikupe tabu...wacha tuwanyoshe....na hizo hela zikija akuna kuziacha ....meantime acha wale chakula ya msada mpka mwisho wa dunia[emoji23][emoji23] mafukara hawa
Screenshot_20201009-064108.jpg
Screenshot_20201009-064045.jpg
Screenshot_20201009-064140.jpg
 
Mkiwa na magufuli hadi 2025 sioni mkitoka kundi la poorest countries on this planet. Foreign aid mtaendelea kupokea. Foreign aid hupewa nchi ambazo hazijiwezi kama Tanzania.
TZ ni mido inkamu iyo ni takwimu za WB, Mashashola ni Nani upinge?get lost
 
Kwenye swala la umeme sijawah kuwa mbali na jpm

Kaifanya tanesco kutoka kuwa shirika mzigo linalopokea ruzuku serikalini na bado linatengeneza hasara za mamia ya mamilioneli hatimae kutengeneza faida na kwa mara ya kwanza toka dunia imekuwepo tanesco imetoa gawio serikalini

Ni kutokana na kuzimwa kwa yale majenereta ya mafuta, capacity charges, kuondoa uhuni wa procurement kama kununua poles njombe na kuzipeleka SA na kuziagiza tena kwa bei mara 7

Kubwa zaidi ni kwamba zaidi ya 70% ya umeme wa sasa ni wa natural gas

 
Na IMF wanasema Tanzania ni nchi mojawapo ya maskini wa dunia. Mko kundi moja na Afghanistan nchi za vita tuusan Wewe ni Nani upinge? Get Lost
Unajaribu kutembelea nyota yangu sasa lol
Pingana na benki ya dunia sasa
Screenshot_2020-10-09-11-28-56.jpg
Screenshot_2020-10-09-11-29-07.jpg
 
Back
Top Bottom