Mataifa 25 masikini zaidi haya hapa. Ndugu zetu Uganda, Rwanda, Ethiopia watachomoka lini humu?

So it does kenya
JamiiForums-2073991019.jpg
 
Huu uzi huu, lazima mmoja atahema na kuachia, hehehe, ila IMF waandikiwe barua waache kuitaja Tanzania kwenye kundi la maskini hoi, maana inasababisha hasira kwa wenzetu hawa wa kusini ambao hupenda sana kufukia vichwa kwenye ardhi....
 
Susan hataki kuskia hivo
JamiiForums-2073991019.jpg
 
Ila masikini wa Tanzania anamiliki ardhi,anafuga wakati masikini wa Kenya ni masikini kweli alafuu Kenya ni nchi inayoongoza kuwa na masikini wengi afrika mashariki.masikini wa Tanzania akienda migodini akijitahidi anatoka na hela ya kutosha.so Masikini wa Tanzania ni rahisi kutoka kwenye umasikini akitaka.
 
Kama unahitaji mtu akwambia umasikini wako au utajiri wako..., lazima ujue kuna walakini kwenye hio taarifa...., (nadhani wewe ndio better judge wa status yako)
 
Ila masikini wa Tanzania anamiliki ardhi,anafuga wakati masikini wa Kenya ni masikini kweli alafuu Kenya ni nchi inayoongoza kuwa na masikini wengi afrika mashariki.masikini wa Tanzania akienda migodini akijitahidi anatoka na hela ya kutosha.so Masikini wa Tanzania ni rahisi kutoka kwenye umasikini akitaka.
Mbona hawajajinasua kutoka kwenye hiyo umasikini miaka hamsini tangu mpate uhuru? Tanzania is a rich country (resource-wise) but with very idle minds as citizens
 
Na nyinyi tuliwakopa? Nchi masikini kama yenu itakataaje misaada za bure?
Unachekesha sana,nyie mnajiona mnazo?wakenya million ngap ni masikini? Apo Nairobi kuna watu wanaishi kwenye vibanda vya tope vilivyozungukwa na mifereji ya mavi,au zile full bati mini oven wacha kunifrahisha
 
Back
Top Bottom