Mataifa 25 masikini zaidi haya hapa. Ndugu zetu Uganda, Rwanda, Ethiopia watachomoka lini humu?

Mataifa 25 masikini zaidi haya hapa. Ndugu zetu Uganda, Rwanda, Ethiopia watachomoka lini humu?

Mbona unaishia kutaja kibera wakati Nairobi ni slumHub ?masikini ni wengi Nairobi ilo linajulikana
Nataja kibera coz it's the only place in Nairobi worth mentioning in the same sentence with Dar
 
Kwa hivyo wamaasai wote ni matajiri?? Your level of argument is pathetic. Hata mimi nina ardhi na mifugo but I don't consider myself a rich person
Kuna mahali nmesema kua na ardhi ndio utajiri?wacha kunilisha maneno...Nimesema mwenye ardhi na mifugo anatofauti kubwa na ambae hana.
 
Kuna mahali nmesema kua na ardhi ndio utajiri?wacha kunilisha maneno...Nimesema mwenye ardhi na mifugo anatofauti kubwa na ambae hana.
Look at what you said earlier versus what you are saying now. Wewe umechanganyikiwa
PhotoGrid_1602339219452.jpg
 
Sasa hapo wapi nmesema neno tajiri?we kumbe ni fala kiasi icho

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Hii Mada inazungumzia mataifa 25 masikini zaidi duniani, ambapo Tanzania ni mojawapo. Hiyo ndio hoja mnapinga hapa hadi mnatumia visingizio za ujinga kama ardhi na ng'ombe. Mnasema eti mtu anayemiliki ng'ombe na ardhi si masikini. Opposite ya umasikini ni nini kama sio utajiri?
 
Jisikie ulivyoNg'ombe sasa, Mataifa 25 Tz haimo, mlileta list yenu ya mataifa 28 nikawaambia tukileta 30 mtakuepo jamaa akaileta kweli mmo sasa hujiskii tu ulivyochenga.
 
Just to ask, since when is the GDP of Uganda $72B?., skewed report thus null and void, some propagadist must have edited by removing 'bingwa wa umasikini EAC na SADC. thus it is null and void.😂😂 kwako tuusan
 
Just to ask, since when is the GDP of Uganda $72B?., skewed report thus null and void, some propagadist must have edited by removing 'bingwa wa umasikini EAC na SADC. thus it is null and void.[emoji23][emoji23] kwako tuusan
Nenda ukadinywe basi
Screenshot_2020-10-13-10-27-22.jpg
Screenshot_2020-10-13-10-27-30.jpg
 
A country receiving grants and aid from IMF is still very poor
JamiiForums-2073991019.jpg
 
Kwa hivyo wamaasai wote ni matajiri?? Your level of argument is pathetic. Hata mimi nina ardhi na mifugo but I don't consider myself a rich person
Because you are a fool kwa sababu mifugo na ardhi ni utajiri.unaunza ngombe unapata pesa au unauza maziwa unapata pesa yaani kuna bidhaa nyingi kutokana na mifugo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hajielewi. Congo DRC wana madini kufa MTU lakini ni maskini mbaya.
Kwani hayo madini yanamikiwa na wananchi wenyewe au yanamilikiwa na watu wachache lakini ukimili mifugo na ardhi kama kama unawaza vizuri ni rasilimali tosha
 
Arguing with Tanzanians us one hell of a problem. Eti mtu anasema as long as you have cattle and a piece of land then you are rich! How do these southerners reason?!
Wakenya kweli Hamna akili mi ninachokisema ni kwamba ardhi na mifugo ni utajiri wenyewe ukitumia vizuri unaweza kukutoka kwenye umasikini.
 
Back
Top Bottom