Simamia upande wako nami nisimamie wanguPingana na IMF sasa. Tanzania ni mojawapo ya nchi maskini kuruka ndani ya hii dunia tuliopewa na mungu.
Hili hambadilishi kwanza Magufuli akiingia. By 2025 mtakua maskini wa kutupwaView attachment 1594844
Na hawawezi weka 28 itakuwa 30Zikiwa 30 hamkosekani so shut up
Whatever. Tanzania is still poor.
So it does kenya
Nyinyi wenye akiba ya dharura mbona hamchelewi kupokea misaada?Sasa umejionyesha ulivyoPumbavu live, Kwahyo hamna akiba yyte ya dharura?kukopa kwenye kila jambo ni udhaifu na bado unaweza usilipe vilevile
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Susan hataki kuskia hivoHuu uzi huu, lazima mmoja atahema na kuachia, hehehe, ila IMF waandikiwe barua waache kuitaja Tanzania kwenye kundi la maskini hoi, maana inasababisha hasira kwa wenzetu hawa wa kusini ambao hupenda sana kufukia vichwa kwenye ardhi....
Tuliwaomba?unatafuta pesa alafu zije as bure uzikatae?Nyinyi wenye akiba ya dharura mbona hamchelewi kupokea misaada?
Na nyinyi tuliwakopa? Nchi masikini kama yenu itakataaje misaada za bure?Tuliwaomba?unatafuta pesa alafu zije as bure uzikatae?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mbona hawajajinasua kutoka kwenye hiyo umasikini miaka hamsini tangu mpate uhuru? Tanzania is a rich country (resource-wise) but with very idle minds as citizensIla masikini wa Tanzania anamiliki ardhi,anafuga wakati masikini wa Kenya ni masikini kweli alafuu Kenya ni nchi inayoongoza kuwa na masikini wengi afrika mashariki.masikini wa Tanzania akienda migodini akijitahidi anatoka na hela ya kutosha.so Masikini wa Tanzania ni rahisi kutoka kwenye umasikini akitaka.
Unachekesha sana,nyie mnajiona mnazo?wakenya million ngap ni masikini? Apo Nairobi kuna watu wanaishi kwenye vibanda vya tope vilivyozungukwa na mifereji ya mavi,au zile full bati mini oven wacha kunifrahishaNa nyinyi tuliwakopa? Nchi masikini kama yenu itakataaje misaada za bure?