passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Still Kenya mnakosa hata chakula na mnashindwa kufanya miradi mikubwa wenyewe wakati baadhi ya miradi mikubwa tunafanya wenyewe YOU ARE SO FAKE.$109b vs $65b
47m vs 60m population
Kenya is King
nimekuambia masikini wa Tanzania anamashamba na mifugo labda hao hawaangalii hivi vitu lakini kiukweli mtanzania unayemwita masikini anamiliki ardhi na mifugoMbona hawajajinasua kutoka kwenye hiyo umasikini miaka hamsini tangu mpate uhuru? Tanzania is a rich country (resource-wise) but with very idle minds as citizens
Na kuhusu madini watu wameshaanza kuwa Matajiri kwa sababu ya madini kwa sababu sheria za ovyo zimeondolewa watanzania wameshaanza kunufaika ndo Tanzania inamamilionare wengi kuliko Kenya.Mbona hawajajinasua kutoka kwenye hiyo umasikini miaka hamsini tangu mpate uhuru? Tanzania is a rich country (resource-wise) but with very idle minds as citizens
Miaradi ya grants and donations.Still Kenya mnakosa hata chakula na mnashindwa kufanya miradi mikubwa wenyewe wakati baadhi ya miradi mikubwa tunafanya wenyewe YOU ARE SO FAKE.
Ujinga, ujinga, ujinga. We are talking about monetary poverty. Sio kumiliki mifugo za uchawi.nimekuambia masikini wa Tanzania anamashamba na mifugo labda hao hawaangalii hivi vitu lakini kiukweli mtanzania unayemwita masikini anamiliki ardhi na mifugo
$109b vs $65b
47m vs 60m population
Kenya is King
We enedelea kudoubt lakini World Bank wakiwatoa LDC mnafurahia.I doubt hata kama mmecross $90B
Wengine wanapinga lakini beberu akiwatoa LDC wanaamini.Duh, yaani tunakwenda kuwapiga double kiuchumi ilhali wao ndo wengi, tatizo wanapenda kuzaliana sana na hiyo ndio inawaponza, waliambiwa wafyatue watoto maana manyonyo yapo na maziwa ya kutosha.
Si pia Tanzania watu wanakufa njaa hadi mnakula watoto wenu.Still Kenya mnakosa hata chakula na mnashindwa kufanya miradi mikubwa wenyewe wakati baadhi ya miradi mikubwa tunafanya wenyewe YOU ARE SO FAKE.
Wapi watu wanakufa njaa?we unaongelea maalbino kitu ambacho ishakuwa historia Tanzania?Si pia Tanzania watu wanakufa njaa hadi mnakula watoto wenu.
Albino ni endagered species Tanzania sababu ya uchawi ilhali ni binadamu kama wewe
We bogus kweli don't you know that crops na mifugo ni hela.unaweza kuuza ukapata hela.wakenya kweli ni wajinga kichwani.Ujinga, ujinga, ujinga. We are talking about monetary poverty. Sio kumiliki mifugo za uchawi.
Sio nyie mnaokufa mpaka nchi nyingine inawaletea msaada wa chakula.mambo ya albino yashaishaga Tanzania nashangaa mnakuzaWapi watu wanakufa njaa?we unaongelea maalbino kitu ambacho ishakuwa historia Tanzania?
Kwa hivyo kumiliki ardhi na mifugo ni kigezo cha kutathmini utajiri Tanzania??? Hivyo ni sawa na kusema kwamba wamaasai wote ni matajiri. Wewe heri hata unyamaze tu.nimekuambia masikini wa Tanzania anamashamba na mifugo labda hao hawaangalii hivi vitu lakini kiukweli mtanzania unayemwita masikini anamiliki ardhi na mifugo
Mwenye mifugo na ardhi anaweza kuuza na kupata fedha sasa ambae hana fedha na hana shamba wala mifugo uyo anahali ganiKwa hivyo kumiliki ardhi na mifugo ni kigezo cha kutathmini utajiri Tanzania??? Hivyo ni sawa na kusema kwamba wamaasai wote ni matajiri. Wewe heri hata unyamaze tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] hajielewi. Congo DRC wana madini kufa MTU lakini ni maskini mbaya.Kwa hivyo kumiliki ardhi na mifugo ni kigezo cha kutathmini utajiri Tanzania??? Hivyo ni sawa na kusema kwamba wamaasai wote ni matajiri. Wewe heri hata unyamaze tu.
Kibera ambayo ndio mtaa mkubwa wa mabanda hapa Nairobi has no more than 300k residents. Kule Dar, mamilioni huishi kwenye zile shanty zenu mnazoita dream housesUnachekesha sana,nyie mnajiona mnazo?wakenya million ngap ni masikini? Apo Nairobi kuna watu wanaishi kwenye vibanda vya tope vilivyozungukwa na mifereji ya mavi,au zile full bati mini oven wacha kunifrahisha
Kwa hivyo wamaasai wote ni matajiri?? Your level of argument is pathetic. Hata mimi nina ardhi na mifugo but I don't consider myself a rich personMwenye mifugo na ardhi anaweza kuuza na kupata fedha sasa ambae hana fedha na hana shamba wala mifugo uyo anahali gani
Mbona unaishia kutaja kibera wakati Nairobi ni slumHub ?masikini ni wengi Nairobi ilo linajulikanaKibera ambayo ndio mtaa mkubwa wa mabanda hapa Nairobi has no more than 300k residents. Kule Dar, mamilioni huishi kwenye zile shanty zenu mnazoita dream houses
Lastly, sisi hatuna ila hatutegemei misaada kutoka IMF na World Bank
Arguing with Tanzanians us one hell of a problem. Eti mtu anasema as long as you have cattle and a piece of land then you are rich! How do these southerners reason?![emoji23][emoji23][emoji23] hajielewi. Congo DRC wana madini kufa MTU lakini ni maskini mbaya.