Bila shaka hata Putin mwenyewe kwa sasa anajutia haya maamuzi ya vita, China ameonesha unafki mkubwa, ameshindwa hata na Iran na N.Korea.Kumbe unaelewa vyema mkuu.
![]()
China anaogopa kuwekewa vikwazo.
Wakimtwanga vikwazo alivyopigwa Russia au Iran huwezi kumuona hapo alipo.
Ndio maana lazima ajikombe kwa West.
Huo ndio ukweli full stop.
Wakati vita vinaanza China alitoa mchango wa fedha kwa ajili ya kuwasaidia Ukraine, toka hapo nikajisemea kazi imeisha.