Bila shaka hata Putin mwenyewe kwa sasa anajutia haya maamuzi ya vita, China ameonesha unafki mkubwa, ameshindwa hata na Iran na N.Korea.Kumbe unaelewa vyema mkuu.
China anaogopa kuwekewa vikwazo.
Wakimtwanga vikwazo alivyopigwa Russia au Iran huwezi kumuona hapo alipo.
Ndio maana lazima ajikombe kwa West.
Huo ndio ukweli full stop.
Anajikomba na kulinda sana huo uchumi alipofikia yupo radhi afanye kitu kuwafurahisha wazungu lakini awaponze wenzake.Bila shaka hata Putin mwenyewe kwa sasa anajutia haya maamuzi ya vita, China ameonesha unafki mkubwa, ameshindwa hata na Iran na N.Korea.
Wakati vita vinaanza China alitoa mchango wa fedha kwa ajili ya kuwasaidia Ukraine, toka hapo nikajisemea kazi imeisha.
Hakuna propaganda bali ukweli mtupu.Tatizo wengi wamelishwa propaganda na media za Magharibi. Yuko hapa kuisifia Marekani taifa ambalo deni lake ni kubwa kuliko uchumi
Wenzeio wamekuja na fact wewe unaleta taarabu hapo kazi ipo kwa kweliHakuna propaganda bali ukweli mtupu.
China anapelekeshwa na west kwa sababu ana shida. Full stop.
Na hio population aliyonayo akipigwa sanctions mtawahurumia.
Hivi unafikiri Trump alipokwenda kuonana na Kim wa NK ilimaanisha uhasama wao umekwisha?Ndio huyu and 100 others atueleze kubanwa kende kwa China ni kupi kama hao westerners ndio wanapanga safu za kwenda kumtembelea China!??
Sijaona facts hapo, hizo ni opinions zao binafsi.Wenzeio wamekuja na fact wewe unaleta taarabu hapo kazi ipo kwa kweli
Anapelekeshwaje?Hakuna propaganda bali ukweli mtupu.
China anapelekeshwa na west kwa sababu ana shida. Full stop.
Na hio population aliyonayo akipigwa sanctions mtawahurumia.
Kukua kwa uchumi China chanzo sio kuwekeza kwa Ulaya China msitake kutudanganya.China ndo alikuwa friend namba 1 wa Russia, leo hii Russia amepewa mfupa autafune (Ukraine) tunamuona rafiki yake China yupo mbali kabisa, hata kumsaidia risasi ameshindwa, China ameufyata kabisa.
Kukua kwa uchumi wa China kumesababishwa na uwekezaji wa Ulaya hapo China na Soko la China kwa nchi za Ulaya, hawa wakiamua China atetereke na ile population yake basi anatetereka vizuri.
😂😂😂😂😂Eleza wewe unaelewa ni nini??Hivi unafikiri Trump alipokwenda kuonana na Kim wa NK ilimaanisha uhasama wao umekwisha?
Kiongozi umenifurahisha sana, lengo la hizo ziara unaelewa ni nini?
Anapelekeshwaje
Hujioni kua wewe ndio unaleta upinion na wenzio wanaleta factSijaona facts hapo, hizo ni opinions zao binafsi.
Kama mnataka facts naweza weka facts, lakini ukweli ni kwamba China uchumi wake umeshikiliwa kwa sehemu kubwa na nchi za magharibi.
Wana uwezo kumshusha au kumpandisha, au kumbakiza alipo, full stop, haihitaji porojo nyingi.
Kaka porojo unaleta wewe.Sijaona facts hapo, hizo ni opinions zao binafsi.
Kama mnataka facts naweza weka facts, lakini ukweli ni kwamba China uchumi wake umeshikiliwa kwa sehemu kubwa na nchi za magharibi.
Wana uwezo kumshusha au kumpandisha, au kumbakiza alipo, full stop, haihitaji porojo nyingi.
Una uhakika China hajawahi kupigwa sanctions na USA!??Hakuna propaganda bali ukweli mtupu.
China anapelekeshwa na west kwa sababu ana shida. Full stop.
Na hio population aliyonayo akipigwa sanctions mtawahurumia.
Israel amewahi kuivamia Iran kijeshi!??Iran yupo top 10?!
Yule asiyeweza hata kujilinda anachezewa kila siku na Israel kama mtoto mdogo?!
Toa Iran kwenye hiyo top 10.
Ziko wapo hizo facts?Hujioni kua wewe ndio unaleta upinion na wenzio wanaleta fact
China aliwahi kuwekewa vikwazo na USA na vikwazo vikagoma.Kumbe unaelewa vyema mkuu.
China anaogopa kuwekewa vikwazo.
Wakimtwanga vikwazo alivyopigwa Russia au Iran huwezi kumuona hapo alipo.
Ndio maana lazima ajikombe kwa West.
Huo ndio ukweli full stop.
Nilim quote huyo jamaa nikawa nimeku qoute na wewe pasi na kukusudia.Ziko wapo hizo facts?
Hawa wanajifunza kulinda kura,kupiga watu wasio na silahaBila kutaja hii nchi, post yako ni batili View attachment 3083684
Uchumi wa China mnaelezewa unakuwa kwa kasi lakini haupo stable, ni kama gari inayopita bumpy road.Kama ni hivyo kati ya ukuaji wa uchumi wa China ukilinganisha na wa US+EU upi unafanya vizuri?