Yaani ukiona USD imeanguka jua fiat currencies zote zinakula mweleka tena baada ya chaos kubwa , brettonwoods iliyoamua kuifanya USD kuwa global reserve currency ilikuwa na sababu ,ingawa imefikia sehemu hapo katikati serikali ya Marekani ila abuse hiyo priveledge kwa kudilute value ya USD Kwa overprinting bila kuibackup na gold ,maana ilitakiwa kila USD 35 iliyopo kwenye mzunguko kuwe na ounce au karati 1 ya gold kwenye vaults za hazina ya Marekani kama enzi zile za brettonwoods kitu ambacho kwa sasa hakipo so trust imeshuka ndio maana unaona nchi kama china wanataka kuachana nayo ,ila USD ikianguka kinachofuata ni introduction ya global CBDC kama means of transaction na reserve currency Chini ya IMF na WB na hiyo ndio ile chapa ya mpinga kristo na mayhem itakayofuata kama maandiko yalivyotabiri ,kilichofanyika Nigeria kuanzia mwezi wa kwanza mpaka sasa hivi tunavyoongea ni majaribio , yanayoendelea Nigeria ndio kitakachofanyika mataifa yote , Hegelian method hiyo , create chaos then jitokeze kama mwokozi unayeleta solution kumbe una agenda zako , .
Na msije ukaomba hii scenario ikukute hai ,aisee hiyo miaka itakuwa ni migumu kiuchumi ,kiusalama na kila nyanja kuliko siku zote uliowahi kuishi humu duniani , nchi zitafirisika ,umasikini wa kutisha ,usalama mdogo ,magonjwa ,njaa nk