Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu mnatia aibu sana yaani kisa kuisifia US ndo pesa za nchi Yako uziite madafu? Haya sema una madafu mangapi mfukoni? Kwahiyo unajiona mjanja kuikashifu fedha ya nchi Yako? Kwani ungeita Kwa jina la kawaida ungepungukiwa nini? Kwa tabia kama hizi akitokea much US akakuomba ushuzi utabisha?Wewe unafahamu unachoongea lkn. Angalia exchange rate dollar dhidi ya madafu kisha utupe jibu. Pili, sasa hivi jaribu kuagiza bidhaa yoyote China au India uone Proforma Invoice wataandika sarafu gani.
Kumbe dollar bado ni muhimu sana kwa biashara na uchumi wetu huku Africa na duniani..Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani hali ambayo inapelekea kupanda kwa gharama za maisha katika mataifa hayo.
Mataifa kama Kenya, Misri, Ghana, Nigeria, Zambia na Zimbabwe ni mifano ya hayo yanayokabiliwa na upungufu huo.
Wewe ni Muslim hivyo chuki yako kwa Marekani najua ni kawaida ya muslims wengineKwa sasa Marekani imeanza kupunguza $ kwenye mzunguko kwa sababu ya matumizi yake kupungua kwa kiasi fulani duniani ili kulinda thamani yake.
Na pia mfumko wa bei nchi Marekani imechangia pakubwa sana.
Huu ndo ukweli japo kuwa ni mchungu kwa baadhi ya watu walio kuwa wanaiona USA kama mungu.
Yuan iko 3% unasema nn weweYuan inakuja kwa kasi katika global foreign currency reserves ila bado ina safari ndefu kuifikia US$
US$ katika global foreign currency reserves imeshuka kwa 10 kutoka 71% mwaka 2000 mpaka 61% mwaka 2022 ikiendelea kushuka hivi inaipa nafasi Yuan