Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora, nchi yako kama haiko koma ubishi

Nadhani tupo level moja na Nigeria pamoja na Egypt, maana na zenyewe hazjatajwa
 
Pesa ya kujenga daraja moja tu la Kigamboni inatosha kujenga bara bara zote za nchi ya Rwanda na chenji ikabaki!
Acheni kufananisha Tz a vast country with some other tiny countries such as Kenya! Tanzania by size is nearly twice the size of Kenya!
Shitty education. Kumbe hizo shule Mnaenda kusema ujinga?
Danganyikans don't know the difference between QUALITY and QUANTITY.
Waliokupa like' nao ni dunderheads.. Just like you ...mkorinto na muhogo
 
Hii sindano imekuingia sana
Hadi povu ikanitoka ikabidi niamini ripoti ya mabeberu.
 
Mbona unatumia nguvu nyngi kuandika vitu ambavyo havina msingi, Kenya ni nchi ndogo kwa Tanzania ila imeizidi Tanzania kwa mitandao ya barabara na ubora wake, ndio cha msingi.
Nenda kazipike ule..wenzako wanakufa njaa huko ww unalia lia barabara...shubamiit..kwan uliambiwa kuna siku tulishindwa kusafiri eneo moja kwenda lingine? Toeni upuuz huku tuletee story za nini tufanye tujikwamue tulipo acheni bla bla! So kama mnajiona mko juu kwa nini mshindwe na ka nchi kadogo kama Rwanda? Au ninyi mnajilinganisha na nini...poteleeni huko
 
Hivi kwani Rwanda mji si Kigali tu kungine mi naonaga vijiji na misitu tuu kuna miji kwan rwanda zaidi ya Kigali???
Barabara za Kigali zaidi kwa ubora na za Dar. Kea Nini za Estonia au Netherlands haubishi ilhali Nchi hizo ni Kama mkoa wa Tanzania?
 
Nenda kazipike ule..wenzako wanakufa njaa huko ww unalia lia barabara...shubamiit..kwan uliambiwa kuna siku tulishindwa kusafiri eneo moja kwenda lingine? Toeni upuuz huku tuletee story za nini tufanye tujikwamue tulipo acheni bla bla! So kama mnajiona mko juu kwa nini mshindwe na ka nchi kadogo kama Rwanda? Au ninyi mnajilinganisha na nini...poteleeni huko
Hata uhispania wanashangaa vipi washindwe na Nchi ndogo Kama Oman.
 
Hadi povu ikanitoka ikabidi niamini ripoti ya mabeberu.
 
Hiyo ripoti inaionea Tanzania na hata zile Nchi ziko chini yenu kwenye hio orodha ya ubora was barabara??? Mfa maji hawachi kutapatapa. Kati yenu na Malawi Nani Yuko juu pande ya barabara?
Kwa ukubwa wa mtandao wa barabara tunakaa meza moja na South Africa, Namibia, Egypt etc
 
Ukipata hip ripoti, leta hapa tujadilie ana uanzishe Uzi tuweze kuwatandika Tena 😂😂😂
 
Mmekuwa mkijenga tangu 2013-2019 na hatubishi ila Kenya haijakuwa ikijenga barabara muda huo wote ama vipi?

Kubali mko nyuma yetu pande zote za kimaendeleo ila kwa mdomo kubwa mnatupiga sawasawa.
Mkajipange upya, mbona kwenye mtandao mkubwa wa umeme napo Tumewapita? Mnaweza kuwa na megawatts nyingi kidogo lakini nyingi kwenye viwanda vya chai lakini mkenya wa kawaida hana umeme

Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwa mtandao mkubwa wa umeme, barabara, huduma ya maji safi na salama, vituo vya afya, wingi wa shule na uhakika wa chakula, yaani hakuna yeyote ukanda huu unatumbia chochote kwenye hizo sectors na nyingine nyingi
 
Anzisha Uzi tukuzime kwa ushahidi wa data na sio mdomo mrefu Kama wako...kitu mnatushinda ni mdomo bakuli...umeme wenu ni 1359.69 MW Nyang'aus 2700MW,
Weka yenu ya barabara nikuabishe...bure kabisa.
 
2016 tulikuwa na megawatts 1600 mpaka sasa tuna megawatts 1800 na mpaka 2023 tutakuwa na megawatts 5000

Hizi takwimu zimefanywa kitaalam, sio kwa ajili ya Kenya tu, Singapore ndio inaongoza duniani.
Hapa EAC Rwanda inaongoza, dah hongera sana Kagame, ungepewa nchi kubwa yenye raslimali tungekukoma.

1. Namibia
2. South Africa
3. Rwanda
4. Cote d'Ivoire
5. Mauritius
6. Morocco
7. Kenya
8. Botswana
9. Cape Verde
10. Senegal
 
Cha kushangaza, Kenya ni nchi ndogo ukilinganisha na Tanzania lakini inaizidi Tanzania kwa urefu, mtandao na ubora wa barabara.
eti Kenya nchi ndogo na Rwanda wasemeje! ?hii mijaluo cjui mikikuyu inapenda sifa kweli!
 
Mkajipange upya, mbona kwenye mtandao mkubwa wa umeme napo Tumewapita? Mnaweza kuwa na megawatts nyingi kidogo lakini nyingi kwenye viwanda vya chai lakini mkenya wa kawaida hana umeme
Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwa mtandao mkubwa wa umeme, barabara, huduma ya maji safi na salama, vituo vya afya, wingi wa shule na uhakika wa chakula, yaani hakuna yeyote ukanda huu unatumbia chochote kwenye hizo sectors na nyingine nyingi
Hebu lete evidence wewe. Kwanza umeoga? Usije ukakamatwa na makonda. Nimekuona kwa foleni ya brt kama umevaa 'floaters' chafu na mkeo slippers za bafu😅😅😃😃
 
Back
Top Bottom