Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 459
- 1,117
Nadhani tupo level moja na Nigeria pamoja na Egypt, maana na zenyewe hazjatajwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shitty education. Kumbe hizo shule Mnaenda kusema ujinga?Pesa ya kujenga daraja moja tu la Kigamboni inatosha kujenga bara bara zote za nchi ya Rwanda na chenji ikabaki!
Acheni kufananisha Tz a vast country with some other tiny countries such as Kenya! Tanzania by size is nearly twice the size of Kenya!
Hadi povu ikanitoka ikabidi niamini ripoti ya mabeberu.Hii sindano imekuingia sana
Mkenya amaliza ubishi kati ya Kenya vs Tanzania
Majirani wetu wa Kenya, ni matumaini yangu kwamba huyu Dada amemaliza ubishi kati yetu, Yale yote aliyoyaandika yule mwanahabari wa Kenya aliyetembelea Tanzania, huyu Dada ameyathibitisha. Mliokua mnasema kwamba aliongeza sifa nyingi, wengine wakasema sio mkenya ni mtanzania, vipi kuhusu huyu...www.jamiiforums.com
Nenda kazipike ule..wenzako wanakufa njaa huko ww unalia lia barabara...shubamiit..kwan uliambiwa kuna siku tulishindwa kusafiri eneo moja kwenda lingine? Toeni upuuz huku tuletee story za nini tufanye tujikwamue tulipo acheni bla bla! So kama mnajiona mko juu kwa nini mshindwe na ka nchi kadogo kama Rwanda? Au ninyi mnajilinganisha na nini...poteleeni hukoMbona unatumia nguvu nyngi kuandika vitu ambavyo havina msingi, Kenya ni nchi ndogo kwa Tanzania ila imeizidi Tanzania kwa mitandao ya barabara na ubora wake, ndio cha msingi.
Barabara za Kigali zaidi kwa ubora na za Dar. Kea Nini za Estonia au Netherlands haubishi ilhali Nchi hizo ni Kama mkoa wa Tanzania?Hivi kwani Rwanda mji si Kigali tu kungine mi naonaga vijiji na misitu tuu kuna miji kwan rwanda zaidi ya Kigali???
Hata uhispania wanashangaa vipi washindwe na Nchi ndogo Kama Oman.Nenda kazipike ule..wenzako wanakufa njaa huko ww unalia lia barabara...shubamiit..kwan uliambiwa kuna siku tulishindwa kusafiri eneo moja kwenda lingine? Toeni upuuz huku tuletee story za nini tufanye tujikwamue tulipo acheni bla bla! So kama mnajiona mko juu kwa nini mshindwe na ka nchi kadogo kama Rwanda? Au ninyi mnajilinganisha na nini...poteleeni huko
Hadi povu ikanitoka ikabidi niamini ripoti ya mabeberu.
Kwa ukubwa wa mtandao wa barabara tunakaa meza moja na South Africa, Namibia, Egypt etcHiyo ripoti inaionea Tanzania na hata zile Nchi ziko chini yenu kwenye hio orodha ya ubora was barabara??? Mfa maji hawachi kutapatapa. Kati yenu na Malawi Nani Yuko juu pande ya barabara?
Ukipata hip ripoti, leta hapa tujadilie ana uanzishe Uzi tuweze kuwatandika Tena 😂😂😂Kwa ukubwa wa mtandao wa barabara tunakaa meza moja na South Africa, Namibia, Egypt etc
Mkajipange upya, mbona kwenye mtandao mkubwa wa umeme napo Tumewapita? Mnaweza kuwa na megawatts nyingi kidogo lakini nyingi kwenye viwanda vya chai lakini mkenya wa kawaida hana umemeMmekuwa mkijenga tangu 2013-2019 na hatubishi ila Kenya haijakuwa ikijenga barabara muda huo wote ama vipi?
Kubali mko nyuma yetu pande zote za kimaendeleo ila kwa mdomo kubwa mnatupiga sawasawa.
Anzisha Uzi tukuzime kwa ushahidi wa data na sio mdomo mrefu Kama wako...kitu mnatushinda ni mdomo bakuli...umeme wenu ni 1359.69 MW Nyang'aus 2700MW,Mkajipange upya, mbona kwenye mtandao mkubwa wa umeme napo Tumewapita? Mnaweza kuwa na megawatts nyingi kidogo lakini nyingi kwenye viwanda vya chai lakini mkenya wa kawaida hana umeme
Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwa mtandao mkubwa wa umeme, barabara, huduma ya maji safi na salama, vituo vya afya, wingi wa shule na uhakika wa chakula, yaani hakuna yeyote ukanda huu unatumbia chochote kwenye hizo sectors na nyingine nyingi
Na Uzuri sisi tumenyamaza kimya ninyi ndio mnachachawaUkipata hip ripoti, leta hapa tujadilie ana uanzishe Uzi tuweze kuwatandika Tena 😂😂😂
Sio wewe umesema dakika chache zilizopita vile moo ligi moja na SA na Egypt 😂😂😂 Hebu tuonyeshe kwa lipi kaka 😂😂😂😂Na Uzuri sisi tumenyamaza kimya ninyi ndio mnachachawa
2016 tulikuwa na megawatts 1600 mpaka sasa tuna megawatts 1800 na mpaka 2023 tutakuwa na megawatts 5000Anzisha Uzi tukuzime kwa ushahidi wa data na sio mdomo mrefu Kama wako...kitu mnatushinda ni mdomo bakuli...umeme wenu ni 1359.69 MW Nyang'aus 2700MW,
Weka yenu ya barabara nikuabishe...bure kabisa.
Poleni mfanye bidi kujenga barabara akina geuza ulale.acha kuspend your lifetime on JF na nchi inaoza
Hizi takwimu zimefanywa kitaalam, sio kwa ajili ya Kenya tu, Singapore ndio inaongoza duniani.
Hapa EAC Rwanda inaongoza, dah hongera sana Kagame, ungepewa nchi kubwa yenye raslimali tungekukoma.
1. Namibia
2. South Africa
3. Rwanda
4. Cote d'Ivoire
5. Mauritius
6. Morocco
7. Kenya
8. Botswana
9. Cape Verde
10. Senegal
![]()
Roads quality by country, around the world | TheGlobalEconomy.com
The average for 2019 based on 141 countries was 4.07 points. The highest value was in Singapore: 6.5 points and the lowest value was in Chad: 1.9 points. The indicator is available from 2006 to 2019. Below is a chart for all countries where data are available.www.theglobaleconomy.com
![]()
Top 10 African Countries With the Best Roads | The African Exponent.
Here are the Top 10 countries in Africa with the best roads.www.africanexponent.com
eti Kenya nchi ndogo na Rwanda wasemeje! ?hii mijaluo cjui mikikuyu inapenda sifa kweli!Cha kushangaza, Kenya ni nchi ndogo ukilinganisha na Tanzania lakini inaizidi Tanzania kwa urefu, mtandao na ubora wa barabara.
Hebu lete evidence wewe. Kwanza umeoga? Usije ukakamatwa na makonda. Nimekuona kwa foleni ya brt kama umevaa 'floaters' chafu na mkeo slippers za bafu😅😅😃😃Mkajipange upya, mbona kwenye mtandao mkubwa wa umeme napo Tumewapita? Mnaweza kuwa na megawatts nyingi kidogo lakini nyingi kwenye viwanda vya chai lakini mkenya wa kawaida hana umeme
Tanzania ndio inaongoza ukanda huu kwa mtandao mkubwa wa umeme, barabara, huduma ya maji safi na salama, vituo vya afya, wingi wa shule na uhakika wa chakula, yaani hakuna yeyote ukanda huu unatumbia chochote kwenye hizo sectors na nyingine nyingi
wao huu hapa hawa nyang'auHahahah kumbe ile video imepenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea na statistic za online wakati nduguzo washakuambia