Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora

Mataifa kumi Afrika yenye barabara bora

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Tutafika tu....

Top 10 African countries with quality roads

  1. Namibia (score 5.2) world ranking 23
  2. South Africa (score 5.0) world ranking 29
  3. Rwanda (score 5.0) world ranking 31
  4. Cote d’voire (score 4.7) world ranking 42
  5. Mauritius (score 4.7) world ranking 44
  6. Morocco (score 4.4) world ranking 55
  7. Kenya (score 4.2) world ranking 61
  8. Botswana (score 4.1) world ranking 6
  9. Cape Verde (score 4.1) world ranking 66
  10. Senegal (score 4.0) world ranking 71
Other notable countries that did not make it on our list are Gambia, Zambia, Ghana, Tunisia and Uganda.
 
JamiiForums1277603542.jpg
 
Me najua umepost baada ya kuona Tz haipo??[emoji23][emoji23][emoji23]
 
si tulikubaliana wakati wa magufuli kuwa barabara ni maendeleo ya vitu na si watu kwahiyo tuachane navyo hivi vitu
 
Unaelewa Kingereza? Unajua nini maana ya "since 2013".... Nikuondole uvivu, hapo ina maana tangu 2013, Kenya imefaulu kuongeza kilomita 10,500 za lami.
Halafu naona unamaliza simu chaji kwa haya mapicha, hapo kwenye picha yako inaonyesha mtandao wote wa barabara za Tanzania, paved and unpaved ni 86,472km, sasa hii picha itakusaidia kwenye ufahamu, au kama vipi fuata huu uzi wa Watanzania wenzako Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

screenshot_20211214-210856-png.2086671
 
Tutafika tu....

Top 10 African countries with quality roads

  1. Namibia (score 5.2) world ranking 23
  2. South Africa (score 5.0) world ranking 29
  3. Rwanda (score 5.0) world ranking 31
  4. Cote d’voire (score 4.7) world ranking 42
  5. Mauritius (score 4.7) world ranking 44
  6. Morocco (score 4.4) world ranking 55
  7. Kenya (score 4.2) world ranking 61
  8. Botswana (score 4.1) world ranking 6
  9. Cape Verde (score 4.1) world ranking 66
  10. Senegal (score 4.0) world ranking 71
Other notable countries that did not make it on our list are Gambia, Zambia, Ghana, Tunisia and Uganda.
Kenya vibarabara vyao vyembamba ina ubara gan wa barabara, kunya buana

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi nimefuatilia post za jukwaa hili na nimeona kila mara mnapost mashindano ya Tanzania VS Kenya

Huo ni upumbavu mkubwa na itafaa hili jukwaa liondolewe

Wakenya wengi wanajidai wajuwaji na bora kuliko wenzao wakati kila mwaka wanateseka kwa njaa, utapiamlo na kukondeana
 
Back
Top Bottom