Mataifa makubwa ya Ulaya na Marekani yanaisujudia Israel waliyoiunda wenyewe

Wazayuni sio wayahudi wa asili,,wengi ni wazungu walioamua kufata imani ya kiyahudi ,,,,,,ni kama wewe wa buza ulivyoamua kua roman katoliki haikufanyi wewe kua mrumi
 
Wazayuni sio wayahudi wa asili,,wengi ni wazungu walioamua kufata imani ya kiyahudi ,,,,,,ni kama wewe wa buza ulivyoamua kua roman katoliki haikufanyi wewe kua mrumi
Sio kweli, kwa hiyo yale makabila 12 ya wana wa Israel yako wapi.
 
Sio kweli, kwa hiyo yale makabila 12 ya wana wa Israel yako wapi.
We fata ukweli unaoujua wewe,hata wa Ethiopia pia kuna wayahudi wa enzi hizo kwenye yale makabila 12.....
 
Bwana Adolf Hitler aliwahi sema "dunia itatambua siku Israel ikipata Taifa lao" sijui kwa nini alihofia hivi...
 
Ngoja kwanza; umesema hili taifa waliliunda wao? Ok, kwenye huo ukuta uliosema kwamba viongozi wao wanakwendaga kulia macho pale (though me ndio naisikia leo kwamba viongozi wa USA na Uingereza wanaendaga pale kulia ) ulijengwa lini na kwasababu gani?
 
Kuna baadhi ya wajinga humu hawajui uislamu ni nini?

Uislamu ni unyenyekevu chini ya Mungu mmoja tu,kujisalimisha kwake na kufuata maamrisho yake period

kwahiyo next time ukiambiwa uislamu ulikuwa tangu enzi za adam uelewe kwa mnasaba huo

ILa kwa ujinga wenu wa kunasibisha kanzu na kofia mtaona uislamu uliletwa na Mtume Muhammad (s.a.w)

Acheni ujinga
 
Mwenye kitabu cha "Black Jews in Africa and the Americas'' msaada please.
 
Yule Ayatolah aliyekuwa anatokwa jasho nasikia nae kauwawa katika shambulio?
 
Kwani hukusoma habari za Musa kuona Cushite woman kutoka Midiani? Hukupata kujua kama Midiani ipo Saudi Arabia ya Leo??

Sisemi Ibrahimu au Waisrael walikuwa weusi au weupe maana Biblia inasema they are the people of Colour (bila shaka like Ethiopians or like Cushites) na Sulemani anasema ngozi yake ni nyeusi.

Lakini ninachotaka kukujukisha tu ni kwamba zama hizi hadi Middle East kulikuwa na watu weusi na Cushites maana hata mwanzishi ya BABELI(Iraq ya Leo) alikitoka Ibrahimu ni NIMROA ambaye ametoka na Hamu anayeaminika kuwa baba wa weusi
 
Kwani hukusoma habari za Musa kuona Cushite woman kutoka Midiani? Hukupata kujua kama Midiani ipo Saudi Arabia ya Leo??

Sisemi Ibrahimu au Waisrael walikuwa weusi au weupe maana Biblia inasema they are the people of Colour (bila shaka like Ethiopians or like Cushites) na Sulemani anasema ngozi yake ni nyeusi.

Lakini ninachotaka kukujukisha tu ni kwamba zama hizi hadi Middle East kulikuwa na watu weusi na Cushites maana hata mwanzishi ya BABELI(Iraq ya Leo) alikitoka Ibrahimu ni NIMROA ambaye ametoka na Hamu anayeaminika kuwa baba wa weusi
 
Bwana Adolf Hitler aliwahi sema "dunia itatambua siku Israel ikipata Taifa lao" sijui kwa nini alihofia hivi...
He knew them, wale sio binadamu kama sisi toka mwanzo wanaasili ya kuabudu shetani na ukafiri tu, imagine hawaamini kama Yesu aliyekuja ndio yeye wao bado wanasubiri ujio wa christ ambao ndio huyo wanapigania kumuandalia makazi, ambae ndio huyo huyo mpinga kristo. Wakristo wanawaunga tu ila hawajui hata kidogo mipango na ushenzi waliojipanga hawa mazayuni
 
Uislamu ndio dini kabla ya hata kuumbwa binadamu.Adamu ambaye ndiye baba yetu ndiye mtu wa mwanzo na Mtume wa mwanzo alikuwa muislamu.Mayahudi waliukuta uislamu au tuseme walikufuru ndio wakawa mayahudi.
Hizi dini zina mambo ya ajabu sana. Hebu achaneni ma dini zenu mtafuteni Mungu.
 
Waliopita bahari nyekundu sio hawa bali walikuwa ni kizazi cha Israel ambaye alikuwa ni muislamu.
Hapo ndo mnapofeli.Kwa huo na wewe unawahusudu sana waisraeli sio?Ukisema Waisrael walikuwa Waislam maana yake hata wewe unawahusudu.Waistael walikuwa watunza Sheria ya MUNGU (torati).Sasa tangu lini waislamu wanatunza amri za MUNGU!Tafuta taifa lolote duniani kama utapata taifa linalotunza torati ya Musa tofauti na Waisrael wa leo.Nyie mmejaa maneno mengi yasiyo na ushahidi.Ukiniambia Waisrael wa leo sio hao inabidi utoe na ushahidi.Waisrael walikuwa wanaongea kiebrania(lugha ya manabii wa agano la kale wote akiwepo na Musa).Sasa Kuna taifa gani linaloongea kiebrania duniani kama sio hawa Waisrael wa Sasa?
 
Halaf sijui hizo chuki na wayahudi wamezitoa wapi, kama ni chuki basi angekuwa nazo wajukuu wa Esau pacha wa Israel aliyeibiwa uzaliwa wa kwanza lakini sio wajukuu wa Ismael.
Hao nao ni miongoni mwa waarabu wa Sasa.Kizazi cha Ismael kimeungana na cha Essau kumpigania na Yakobo
 
Cushites ndio walikua weusi lakini waisraeli walikuwa ni Semites ambao hawakuwahi kuwa watu weusi na laiti kama waisraeli walikuwa ni weusi basi sisi ndio tungekuwa jamii ya watu wenye akili mno duniani lakini ona tu tulivyo yaani hadi tunatia aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…