Mataifa ya Afrika yaendelea kupata darasa la Kawi ya Jotoardhi (geothermal) kutoka kwa Wakenya

nionyeshe one geothermal plant constructed by Kenya alone! Fool Mitsubishi provide technology to Kunyans!
 
Kato Kabaka also pointed out that the Tanzanian government plans to develop seven geothermal projects between 2021 and 2025. They will be located in Songwe and Luhoi in the lower Rufiji River, as well as in Kiejo-and Mbaka, in Lake Natron in the heart of the Mbeya region. Once completed, the plants will produce 200 MW.

 
Naona baada ya kumuelimisha Geza Ulole. Kwenye ile handle yake nyingine ya Mkikuyu kwamba Tz ina azimio la zamani la kuwa na kawi ya jotoardhi na kwamba alikuwa ametupia pumba humu. Amekuja fasta akajinukuu na kujisahihisha kisha ghafla akawa mtaalamu wa geothermal. Mzee hakuna anayelazimisha kwamba Tz iwape KenGen kandarasi hiyo. Tz ni nchi moja tu kati ya nane ambazo KenGen inataka kuwachimbia visima. Ila najua kwa uhakika kwamba Tz hamna uwezo wala ujuzi wa kujichimbia visima hivyo. Kupata tenda za kuchimbia nchi zingine nayo ni ndoto kwenu.
 
nionyeshe one geothermal plant constructed by Kenya alone! Fool Mitsubishi provide technology to Kunyans!
Acha majungu mzee, utakufa bure kwasababu ya presha. KenGen wana certification ya IWCF(Internation Well Control Certification), hakuna kampuni nyingine Afrika ambayo ina IWCF certification. Kumaanisha wana capacity ya kiteknolojia ya kuchimba aina yeyote ya visima vya kawi ya jotoardhi. KenGen wamekuwa kwenye hii biashara kwa miongo zaidi ya minne na wamechimba visima zaidi ya 300. Kule kwenye mradi wao Ethiopia wameenda hatua moja mbele. KenGen ndio watatoa 30% ya components za Phase 2(drilling) kwenye Project 1 yao, kwa tune ya KES 620million. Hiyo ni equipments na components zote zingine za kuchimba visima 12 vya kwanza.
 



Hiyo tayari ni dismissed plan kwasababu nani aliye mjinga ahangaike na kutindua srdhini kisa kupata kawi joto!!, ilhali kawi ya Stiegler dam ipo mbioni kupatikana kirahisi!!, waache hao hao wakenya walio na shida ya vyanzo vya kawi waendeelee kufukua ardhini kupata kawi sisi tutafukua ardhini kupata dhahabu na Rubi..
 
Tanzania tayari mmefanya feasibility study, na mmeanza mikakati ya kuchimba visima Mbeya kuanzia 2021. Komalia tu huko huko vijiweni ukifatilia saga za Dayamondi. Unaendelea kudhihirisha wazi kwamba hakuna chochote ambacho unaelewa.
 
Stiegler inatosha, 2000 MW or so., tuchimbe mahandaki ya thermal power ya nini??--- labda hapo baadaye say in 2060, the time of our grandchildren.
Hivi Sasa mnazo megawati 1350 na Bado strugglers gorge haijaanza ujenzi.
 
Hamna expertise ya kuchimba. Mnatuhitaji. Kujeni kwa upole kama Wahabeshi tutawasaidia. Lakini mkija kwa kiburi na miwivu yenu basi hamtasaidika. We are the eighth biggest geothermal producers in the world. joto la jiwe tuusan game over
 
Kengen haikutengeneza hasara mwaka jana. Kengen imetangaza profit kwa miaka kadhaa sasa. Wacha miwivu na uongo
 
Hamna expertise ya kuchimba. Mnatuhitaji. Kujeni kwa upole kama Wahabeshi tutawasaidia. Lakini mkija kwa kiburi na miwivu yenu basi hamtasaidika. We are the eighth biggest geothermal producers in the world. joto la jiwe tuusan game over
Ati nchi yenye mines all over the country inahitaji ur expertise in drilling? U r a fool my friend! Hivi unajua kuna kampuni ya serikali inafanya oil exploration! Hivi kuna nchi drilling machines on the ground kuliko Tanzania hapa East Africa?
 
Hamna expertise ya kuchimba. Mnatuhitaji. Kujeni kwa upole kama Wahabeshi tutawasaidia. Lakini mkija kwa kiburi na miwivu yenu basi hamtasaidika. We are the eighth biggest geothermal producers in the world. joto la jiwe tuusan game over
Tanzanian Government allocates $8.7m for geothermal project at Ngozi
Lake Ngozi, Mbeya, Tanzania (source: flickr/ Sara&Joachim, creative commons)

Alexander Richter8 Jan 2019
The Tanzanian Government has allocated $8.7 million to start on the Lake Ngozi geothermal project in Mbeya region, the first geothermal project of the country.





As reported this morning from Tanzania, the Government of Tanzania has allocated 20 billion Tanzanian Shillings (around USD 8.7 million) in the fiscal year of 2018/ 2019 for geothermal development.

Beatus Segeja, board chairman of the Tanzania Geothermal Development Company (TGDC) revealed this during a visit to Lake Ngozi, Mbeya Region, one of the geothermal prospect areas in the country.

The company is currently preparing the site for drilling work, as we reported earlier.

TGDC is a 100% government owned subsidiary company of Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) that was founded on a similar model set up by Kenya, to push geothermal development.

The company aims to drill four wells for this geothermal power project, one of them to be used for testing. The resource temperature is estimated at around 230 centigrades.

An environmental assessment has been conducted and received approval from the government.

Tanzania aims to produce up to 250 MW in power from geothermal energy resources in the country. The country has 50 areas that could have potential for geothermal development.

 
Haha we are the only experts in Africa. Hata Egypt, SA na Nigeria hawana uwezo huo. Hamna budi ila kutuomba expertise kwani tayari tunatoa ujuzi wetu Rwanda, Uganda, Djibouti. Huko Ethiopia tumeshaanza kuchimba shimo za mvuke.
 
Haha we are the only experts in Africa. Hata Egypt, SA na Nigeria hawana uwezo huo. Hamna budi ila kutuomba expertise kwani tayari tunatoa ujuzi wetu Rwanda, Uganda, Djibouti. Huko Ethiopia tumeshaanza kuchimba shimo za mvuke.
Chinese r everywhere chopping ur money in Geothermal energy projects

 
nionyeshe one geothermal plant constructed by Kenya alone! Fool Mitsubishi provide technology to Kunyans!
Fool. We drill by ourselves. Mitsubishi provides the turbines only.
 
Very well said Pingli Nywee.
Geza Ulole natumai umepata masomo na utawacha kujilinganisha na sisi.
 
Fool. We drill by ourselves. Mitsubishi provides the turbines only.
Who can't drill a geothermal well? Why do u sound as if technology came from Mars? If u were manufacturing those heat pumps used to harness thermal energy plus thermal to electric energy generators then u should have bragged this way! But u buy them from Mitsubishi yet u claim to have a technology! U r out of ur mind as Kunyaland!
 
Weka ya 2020
Sina ya mwaka huu,
Mwaka jana mwanzoni tulikuwa 1600 sasa wewe unavyoleta za 2016 ili utimize lengo lako la chuki unakuwa na maana gani?
Yaani unaenda kabisa Google search halafu unatafuta data za 2016 ili uje kuwafurahisha wajinga wenzako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ fool.
 
Who can't drill a geothermal well? Why do u sound as if technology came from Mars?
Unadhani kuchimba shimo la mvuke ni sawa na kuchimba mafuta? Wewe jamaa una matatizo ya akili. Basi mbona kwa hio repoti yako inasema mmeagiza drill mpya. Si basi mngetumia ile drill yenu ya kuchimba mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…