Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hii post wanairukaAti nchi yenye mines all over the country inahitaji ur expertise in drilling? U r a fool my friend! Hivi unajua kuna kampuni ya serikali inafanya oil exploration! Hivi kuna nchi drilling machines on the ground kuliko Tanzania hapa East Africa?
Kuchimba mafuta ina utofauti mkubwa na kuchimba mvuke. Huo mvuke lazima uwe makini nao kwani huwa inatoka na presha ya kufa mtu na temperature ni zaidi ya 200 degree celcius. Lazima mvuke huo ujengewe kidude cha kuidhibiti ili maafa yasitokee. Geza UloleHii post wanairuka
60Sina ya mwaka huu,
Mwaka jana mwanzoni tulikuwa 1600 sasa wewe unavyoleta za 2016 ili utimize lengo lako la chuki unakuwa na maana gani?
Yaani unaenda kabisa Google search halafu unatafuta data za 2016 ili uje kuwafurahisha wajinga wenzako 😂😂😂 fool.
OHii post wanairuka
Now ushabadilisha gear hewani,Nilifikiri utasema 1700MW kumbe bure kabisa...Nchi ya watu 60million na umeme mdogo hivo? How do you guys survive?
60
Komalia tu huko huko vijiweni ukifatilia saga za Dayamondi.
Acheni majungu bana, hamna nchi nyingine ya Afrika ambayo ipo ndani ya Top 10 duniani kwenye orodha ya installed capacity ya Geothermal Power isipokuwa Kenya.Tena geothermal power ni green energy, clean energy ambayo pia huwa inazalisha umeme mwingi kwa gharama ndogo. KenGen ambayo ni kampuni ya GOK tayari ina project mbili Ethiopia, za kuchimba visima 32! Tena hivi majuzi wamefanikiwa kujishindia tender nyingine ya kuchimba visima 8 Uganda.
Wacha utoto. Afrika nzima hamna nchi yoyote inayozalisha kawi kutumia geothermal isipokuwa Kenya. Ukweli unauma.
Masikini wa nini?Nchi yenye mines na bado masikini
O
So tz hawawezi fanya hivyo?Kuchimba mafuta ina utofauti mkubwa na kuchimba mvuke. Huo mvuke lazima uwe makini nao kwani huwa inatoka na presha ya kufa mtu na temperature ni zaidi ya 200 degree celcius. Lazima mvuke huo ujengewe kidude cha kuidhibiti ili maafa yasitokee. Geza Ulole
Ulianza kwa kupuuzilia mbali habari hizi, utahamisha goal posts hadi uchoke. KenGen wanatengeneza Geothermal Wellhead Generator Units. Teknolojia ambayo waliibuka nayo na wao ndio pioneers. Hii ilikuwa ni mwaka wa 2010.Good for you, Sasa nitajie hizo equipments ambazo ziko related na geothermal power ambazo Kenya mnazitengeneza na kuwauzia wa Ethiopia.
Sent using Jamii Forums mobile app
My point still remains mpo na 1350MW on the ground.Now ushabadilisha gear hewani,
Nimekupa ya mwaka jana mwanzoni sasa hivi itakuwa imeongezeka maana Kuna miradi mingine ilikuwa inaendelea,
Nyie na huo umeme wote mbona umeme ni ghali na wa shida?
Kila kituMasikini wa nini?
Hadi chakula?Kila kitu
Yaani 2019 mwanzoni ni 1600+MW halafu 2020 iwe 1350MW !My point still remains mpo na 1350MW on the ground.
Bila mafunzo maalum hamuwezi.So tz hawawezi fanya hivyo?
Kutoka kwa kina nani hayo mafunzo?Bila mafunzo maalum hamuwezi.
Mziki. Mziki wote mnaocheza iwe club au disco huko,wote mnacheza made in Tanzania,baba la mziki mzuriKwa hili la jotoardhi yaani hata SA, Nigeria na Misri hakuna mwenye jeuri dhidi yetu, Afrika yote inapata darasa. Hivi Tz mna hata kitu kimoja mnachoweza kuchangia popote, iwe vya kutumia nguvu kama michezo au vya ubongo kama hili na kawi.
Kutoka kwetu ndugu zenu au mkipenda muende kwa wazungu. Hamna Watu weusi wengine duniani wanaoweza kuwapa haya mafunzo isipokuwa sisi. Pengine mkimbilie wazungu kama Wajapani au Wamarekani.Kutoka kwa kina nani hayo mafunzo?