Mataifa ya Afrika yaendelea kupata darasa la Kawi ya Jotoardhi (geothermal) kutoka kwa Wakenya

Mziki. Mziki wote mnaocheza iwe club au disco huko,wote mnacheza made in Tanzania,baba la mziki mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata mzki mumeiga Wanaijeria, sikiliza vizuri Bongo flavo za kisasa ni midundo ya Kinijeria, nyie hamna chochote labda vigodoro kule uswazi.
 
Kutoka kwetu ndugu zenu au mkipenda muende kwa wazungu. Hamna Watu weusi wengine duniani wanaoweza kuwapa haya mafunzo isipokuwa sisi. Pengine mkimbilie wazungu kama Wajapani au Wamarekani.
Aiseeh haya
 
Kwan nyie mmekatazwa kuiga
Kila wakiiga wanangukia pua, waliiga bongofleva ikawakataa, wakaiga naija ikawakataa sasa hivi wanaiga Jamaica na itawakataa kama kawaida 😂😂😂
Hii ni singeli muziki wa uswahilini kabisa kwenye vidogoro.
 
Hata mzki mumeiga Wanaijeria, sikiliza vizuri Bongo flavo za kisasa ni midundo ya Kinijeria, nyie hamna chochote labda vigodoro kule uswazi.
Mimi nimekuambia huko kwenu iwe mioyoni mwenu,popote vijiweni kwenye matatu yenu,ofisini,majumbani au club inachezwa mziki wa kibongo tu. Haijalishi wameiga. Kama wameiga kwa nini msicheze ya huko walikoiga,lakini mnacheza ya kibongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila wakiiga wanangukia pua, waliiga bongofleva ikawakataa, wakaiga naija ikawakataa sasa hivi wanaiga Jamaica na itawakataa kama kawaida [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni singeli muziki wa uswahilini kabisa kwenye vidogoro.
Mimi nimekuambia huko kwenu iwe mioyoni mwenu,popote vijiweni kwenye matatu yenu,ofisini,majumbani au club inachezwa mziki wa kibongo tu. Haijalishi wameiga. Kama wameiga kwa nini msicheze ya huko walikoiga,lakini mnacheza ya kibongo?

Sent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muziki wa bongo ni kama maji usipo yanywa utayaoga tu 😂😂😂
 
Kila wakiiga wanangukia pua, waliiga bongofleva ikawakataa, wakaiga naija ikawakataa sasa hivi wanaiga Jamaica na itawakataa kama kawaida 😂😂😂
Hii ni singeli muziki wa uswahilini kabisa kwenye vidogoro.
Mnatuiga kwa utajiri ndiposa omba omba wenu wamejaa Kenya. Hivi Sasa mpende msipende Kenya's KENGEN ndio itawatobolea mashimo ya joto kawi.
 
Bongo sour music ni hadithi za wazee Kenya hivi Sasa Kuna mtindo mpya was Hawa millennials na ndio maana Bongo artists hawaalikwi Kenya as before.

Pigwa mboko huu mchezo ni Haram.
 
Bongo sour music ni hadithi za wazee Kenya hivi Sasa Kuna mtindo mpya was Hawa millennials na ndio maana Bongo artists hawaalikwi Kenya as before.

Pigwa mboko huu mchezo ni Haram.
Hizo ni drama tu za kwenye vitabu. Kenya kuhusu mziki sahauni. Nyie kimbieni tu kama swala. Lakini mziki waachie wabongo. Hata uje mziki wa aina gani,lakini mziki utakaobaki unaochezeka kwenye majumba yenu yote hata ya starehe ni wa kibongo milele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I don't listen to that sissy boy music na ndio maana nikakwambia millennials Yani waliozaliwa baada year 2000 hawatambui huo mziki so maybe in the next 5 years hata sisi tuliopata bongo flava tutazisahau na kukumbatia kizazi kipya...hebu tafuta any recent shows za bongo artists Kenya utapata hamna ama kapungia kwa asilimia kubwa.
 
Tangu lini wajinga mnaobaguana kisa makabila mkawa na akili!
Angalia GDP utapata jibu...Kama ya kwako ni below $70b then jua akili yenu fupi Kama ya ngiri, Kama imefika $80b then karibu kwa meza ya hekima.
 
Geothermal plants are very expensive i dont expect us to build it any time soon..Natural Gas bomba lipo na bado lina capacity ya kutosha ...construction of 185 Mw Kinyerezi 1 cost..were about 185millionUSD ..why spend 821mil to get 600mw ..rather spend 800mil to get 800mw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili hicho hicho mnaongea kama mnarudi rivas ndio mnaponikomoa nyie guluguja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…