Mataifa ya Afrika yanayoitegemea Urusi kwa chakula, kumbe ndio maana baadhi yaliogopa kuisema vibaya Urusi

Mataifa ya Afrika yanayoitegemea Urusi kwa chakula, kumbe ndio maana baadhi yaliogopa kuisema vibaya Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mataifa yote duniani yaliombwa yakemee mauaji ya kimbari aliyoyafanya Urusi kule Ukraine, ila kuna baadhi ya mataifa ya Kiafrika yaliingiza mikia kwenye miguu na kusema hayafungamani na upande wowote, baadaye taarifa zimetoka kumbe haya mataifa maskini yanategemea Urusi kwa ngano hivyo kwa kuisema vibaya yangefungiwa.....

===========================
The war in Ukraine is endangering crucial wheat supplies in many of the least developed countries in the world. Among them, countries in Africa and the Middle East in particular are heavily dependent on wheat imports from Russia and Ukraine. According to the UN Comtrade database, Benin and Somalia obtained all of their wheat from Ukraine and/or Russia. The dependency of Egypt stood at 82 percent, according to the data.

27181.jpeg

Mwenye mfuko wa ngano kutoka Urusi naomba aniwekee ambao umetumika Tanzania.
Mzee uliza wenye mashamba ya ngano azania, ssb, viwanda vya bia, watakupa majibu wanapoitoa ngano kama ni Rukwa, Manyara au Kilimanjaro...
70% ya ngano inayotumika TZ imetokea Urusi au Ukraine. Nyie mnalima ngano kidogo sana ndani ya nchi yenu.
 
Sawa .ila Mimi nilikuwa nataka kuiona hyo ngano inayotoka urusi.
Hata mfuko wake tu.
Utaonaje wakati imekuwa imported kama raw materials na kuja kuwa processed na kuwekwa kwenye mifuko ya Azam au Azania

Akili ndogo sana. Unadhani mikonge tunayo export kapeti lake likitengenezwa India litaandikwa Tanzania?
 
Hapo kutakuwa kuna ufisadi unaendelea.
Na mahindi hamuagizi?
Utaonaje wakati imekuwa imported kama raw materials na kuja kuwa processed na kuwekwa kwenye mifuko ya Azam au Azania

Akili ndogo sana. Unadhani mikonge tunayo export kapeti lake likitengenezwa India litaandikwa Tanzania?
 
Basi Kama ni hivyo nchi hii Ina matatizo makubwa Sana.
Kama ardhi yote iliyopo hapa Tanzania bado tunaagiza ngano kutoka nje
Sio matatizo ni umaskini tu. Kilimo kinahitaji uwekezaji mkubwa sana ambao bado uchumi wetu hauna huo uwezo
Ni kama madini au gesi ni kweli tunayo ila kuyatoa huko ardhini inahitaji mtaji mkubwa sana. Kwa hali yetu hatuwezi tutaishia kuchimba locally kusiko na tija

Hayo mashamba ya ngano ya Russia sio kilimo cha kitoto shamba linatoka Dar mpk Moro na bi fully automated
 
Kwa hyo bakhresa ameshindwa kuwekeza kwenye ngano na mwenzie MO?
kuna faida gani ya kuwaita ni mabilionea wa TANZANIA?

Back
Top Bottom