Mataifa ya Afrika yanayoitegemea Urusi kwa chakula, kumbe ndio maana baadhi yaliogopa kuisema vibaya Urusi

Hii ni habari mpya kwangu.
Basi kama ni hivi TANZANIA SAFARI BADO NI NDEFU.
Ndugu yangu umewahi kutoka kwenda mataifa mengine ukajionea?

Nchini kilimo tuacholimani kidogo sana na hakina tija. Wenzetu wanalima ndugu yangu. Nenda tu hapo South Africa ujionee kilimo chao na ufugaji utaelewa

Brazil huko wanalima mahindi kiasi kikubwa sana

Jiulize nchini sehemu gani kuna kilimo serous. Miwa sukari inayozalishwa ndani haitoshelezi hata asilimia 10 ya soko.

Maparachichi ya TZ yanahitajika dunia nzima ila hapo India tu ambapo ndio tunawauzia sana hatujakidhi soko hata asilimia 2
 
Kwa hyo bakhresa ameshindwa kuwekeza kwenye ngano na mwenzie MO?
kuna faida gani ya kuwaita ni mabilionea wa TANZANIA?
Uwekezaji unaangalia wapi utapata faida ya haraka ndio maana wame-opt kuagiza

Kulima kunahitaji Labour ya kutosha na miundombinu na ardhi ambayo hapa kwetu kuipata kwa upamoja wake ni ngumu. Sasa kama tajiri anaweza kuagiza na kupata faida anaachana na kilimo.

Pia hicho kilimo cha ngano ya kulisha nchi nzima kinahitaji eneo la kutosha sana labda mkoa mzima au nusu mkoa utumike kulima ngano tu
 
Ndugu yangu umewahi kutoka kwenda mataifa mengine ukajionea?

Nchini kilimo tuacholimani kidogo sana na hakina tija. Wenzetu wanalima ndugu yangu. Nenda tu hapo South Africa ujionee kilimo chao na ufugaji utaelewa

Brazil huko wanalima mahindi kiasi kikubwa sana

Jiulize nchini sehemu gani kuna kilimo serous. Miwa sukari inayozalishwa ndani haitoshelezi hata asilimia 10 ya soko.

Maparachichi ya TZ yanahitajika dunia nzima ila hapo India tu ambapo ndio tunawauzia sana hatujakidhi soko hata asilimia 2

Upo sahihi mkuu. Ndo maana nikasema hii nchi kuna sehemu tunakwama kama tunashindwa kujitoshelezea mahitaji yetu ya chakula. Kwa sababu tuna ardhi yenye rutuba ya kutosha. Tuna vyanzo vya maji vya uhakika. Tuna nguvu kazi ya kutosha.

Nailaumu sana CCM hiki chama focus yao imejaa ego wanaangalia matumbo yao tu..lakini maendeleo hawawazi hata kidogo.
 
Hawa matajiri wa huku wanaouza ngano wanaitoa Russia au?
 
Ndio maana huwa inasemwa "tafuta hela upunguze kujieleza", Urusi naichukia kwa kile wanachokifanya Ukraine ila ni dhahiri wao ndio wababe wa vitu vingi hapa duniani, mafuta, gesi, chakula n.k.
Unaambiwa kuna mashamba ya ngano urefu wake kutokea Dar hadi Moro (kuna mdau hapo juu kaisema hii).
Dunia hii ukiwa tajiri unakua na jeuri ya kufanya chochote bila kujieleza na hakuna atakayekugusa.
 
Kwa hiyo ngano tunayolima sisi huku ni ya kutengenezea pombe a.k.a Bia tamu...
 
Jipya hapo nini lipi? Zaidi ya 60% ya ngano inayotumika katika viwanda vyetu, iwe vya bia au akina bakhlesa na Azani inatoka nje. Ama Ukraine au Russia. Sisi tunalima ngano kidogo sana ndani ya nchi na haina ile kiwango cha protini na gundi inayotakiwa.
 
Kwa hyo kuagiza ni rahisi kuliko kulima wenyewe?
kweli tuna safari ndefu
Uwekezaji unaangalia wapi utapata faida ya haraka ndio maana wame-opt kuagiza

Kulima kunahitaji Labour ya kutosha na miundombinu na ardhi ambayo hapa kwetu kuipata kwa upamoja wake ni ngumu. Sasa kama tajiri anaweza kuagiza na kupata faida anaachana na kilimo.

Pia hicho kilimo cha ngano ya kulisha nchi nzima kinahitaji eneo la kutosha sana labda mkoa mzima au nusu mkoa utumike kulima ngano tu
 
Kwa hyo kuagiza ni rahisi kuliko kulima wenyewe?
kweli tuna safari ndefu
Sio kwamba kulima ni ngumu kuliko kuagiza ila wenzetu wanalima kwa kiasi kikubwa kuliko capacity tunayolima sisi na pia kutokana na jiografia kule kwao inastawi katika kiwango bora kuliko kwetu.

Eneo la kulima ngano kwetu ni dogo hivyo haitoshelezi hata kidogo katika soko la ndani. Option kuu ni kuagiza kwa kuwa unapata ngano bora kuliko hapa na kwa kiwango kikubwa kinachotosheleza mahitaji.

Mikoa yenye mazingira ya kulima ngano hapa nchini ni michache na ngano haitoki katika ubora kama wenzetu. Kila nchi imebarikiwa tofauti katika uoto, madini na mazingira. Leo parachichi yetu inahitajika dunia nzima lakini sio kila mkoa unalima parachichi na kinachozalishwa hakitoshelezi hata 0.1 ya mahitaji ya soko so hapo kuna limiting factors zinatufanya tushindwe sio tu kulima ni cheap kuliko kuagiza

Sorry nimesomea AGRIBUSINESS Germany na nimefanya sana research Bongo nachoandika nakijua mno
 
Sawa .ila Mimi nilikuwa nataka kuiona hyo ngano inayotoka urusi.
Hata mfuko wake tu.
Ngano ya Urusi haiji kwenye mifuko, wewe vipi? Inakuja ndani ya meli kisha inapakiwa kwenye malorry na kupelekwa kwa viwanda. Sasa huko viwandani ndiko itakapopakiwa kwenye mifuko na nembo za kampuni unazozifahamu wewe. Sasa wakati unanua unga wa Azam wewe jua alichokifanya ni kutia nembo tu kwenye ngano ya urusi.
 
Ndugu yangu umewahi kutoka kwenda mataifa mengine ukajionea?

Nchini kilimo tuacholimani kidogo sana na hakina tija. Wenzetu wanalima ndugu yangu. Nenda tu hapo South Africa ujionee kilimo chao na ufugaji utaelewa

Brazil huko wanalima mahindi kiasi kikubwa sana

Jiulize nchini sehemu gani kuna kilimo serous. Miwa sukari inayozalishwa ndani haitoshelezi hata asilimia 10 ya soko.

Maparachichi ya TZ yanahitajika dunia nzima ila hapo India tu ambapo ndio tunawauzia sana hatujakidhi soko hata asilimia 2
Wacha uzushi wewe! Hebu leta evidence sukari inayozalishwa haifiki 10%! Kwani sie ni Kenya?

Mashamba ya Nafco Hanang yangefufuliwa angalau ingekuwa back up kwa hali kama hizi za vita.
Ona sasa tunaenda kushuhudia bei ya ngano na vyakula vingine imported kupanda!!
Wizara ya kilimo ndio kwanza inagawa pikipiki 6000??
Bora hata wangetoa mikopo kwa wakulima wakubwa wachache ili kurahisisha upatikanaji wa chakula cha kutosha ndani ya nchi.
 
Back
Top Bottom