Mataifa ya Afrika yanayoitegemea Urusi kwa chakula, kumbe ndio maana baadhi yaliogopa kuisema vibaya Urusi

Mataifa ya Afrika yanayoitegemea Urusi kwa chakula, kumbe ndio maana baadhi yaliogopa kuisema vibaya Urusi

IMG-20220407-WA0007.jpg
 
Wewe ndiyo umesema siyo wao sababu taarifa yao haijasema tunapata ngano kwa msaada! Kwani ku import bidhaa toka nje ni kupewa msaada? Umeongea kana kwamba tunapewa misaada ili kutufunga mdomo kuikemea Urusi kwa operation anayoifanya Ukraine! Je, hicho ndicho kilichoongelewa kwenye hiyo taarifa???

Nakuhakikishia tukiendelea na siasa za hivi hatutafika!!! Afrika haitafika!!! Afrika inaharibiwa na maafrika yenyewe!

Sio mimi nimesema nyie ni maskini wa kutupwa, hao ndio wamesema nyie ni baadhi maskini mnaomtegemea Urusi san kwenye chakula.....
 
Back
Top Bottom