mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ulidhani unajuankila kitu, Vitu vingi hujui tulia uelimishwe.
Ndugu yangu umewahi kutoka kwenda mataifa mengine ukajionea?Hii ni habari mpya kwangu.
Basi kama ni hivi TANZANIA SAFARI BADO NI NDEFU.
Uwekezaji unaangalia wapi utapata faida ya haraka ndio maana wame-opt kuagizaKwa hyo bakhresa ameshindwa kuwekeza kwenye ngano na mwenzie MO?
kuna faida gani ya kuwaita ni mabilionea wa TANZANIA?
Ndugu yangu umewahi kutoka kwenda mataifa mengine ukajionea?
Nchini kilimo tuacholimani kidogo sana na hakina tija. Wenzetu wanalima ndugu yangu. Nenda tu hapo South Africa ujionee kilimo chao na ufugaji utaelewa
Brazil huko wanalima mahindi kiasi kikubwa sana
Jiulize nchini sehemu gani kuna kilimo serous. Miwa sukari inayozalishwa ndani haitoshelezi hata asilimia 10 ya soko.
Maparachichi ya TZ yanahitajika dunia nzima ila hapo India tu ambapo ndio tunawauzia sana hatujakidhi soko hata asilimia 2
Na wewe unajua kua mimi ni baba yako mzazi?hata wewe sidhani Kama unajua kila kitu.
Hivi unajua kuwa Mimi ni baba yako wa kufikia?
vipi umepata mfuko wa ngano toka urusi?Basi Kama ni hivyo nchi hii Ina matatizo makubwa Sana.
Kama ardhi yote iliyopo hapa Tanzania bado tunaagiza ngano kutoka nje
Hawa matajiri wa huku wanaouza ngano wanaitoa Russia au?
Kwa hiyo ngano tunayolima sisi huku ni ya kutengenezea pombe a.k.a Bia tamu...Ndio maana huwa inasemwa "tafuta hela upunguze kujieleza", Urusi naichukia kwa kile wanachokifanya Ukraine ila ni dhahiri wao ndio wababe wa vitu vingi hapa duniani, mafuta, gesi, chakula n.k.
Unaambiwa kuna mashamba ya ngano urefu wake kutokea Dar hadi Moro (kuna mdau hapo juu kaisema hii).
Dunia hii ukiwa tajiri unakua na jeuri ya kufanya chochote bila kujieleza na hakuna atakayekugusa.
Uwekezaji unaangalia wapi utapata faida ya haraka ndio maana wame-opt kuagiza
Kulima kunahitaji Labour ya kutosha na miundombinu na ardhi ambayo hapa kwetu kuipata kwa upamoja wake ni ngumu. Sasa kama tajiri anaweza kuagiza na kupata faida anaachana na kilimo.
Pia hicho kilimo cha ngano ya kulisha nchi nzima kinahitaji eneo la kutosha sana labda mkoa mzima au nusu mkoa utumike kulima ngano tu
vipi umepata mfuko wa ngano toka urusi?
Sio kwamba kulima ni ngumu kuliko kuagiza ila wenzetu wanalima kwa kiasi kikubwa kuliko capacity tunayolima sisi na pia kutokana na jiografia kule kwao inastawi katika kiwango bora kuliko kwetu.Kwa hyo kuagiza ni rahisi kuliko kulima wenyewe?
kweli tuna safari ndefu
Ngano ya urusi ni kwaajili ya kutengeneza pombe tu. Kwahiyo haina Tija sana. Tutatumia mahindi
Ngano ya Urusi haiji kwenye mifuko, wewe vipi? Inakuja ndani ya meli kisha inapakiwa kwenye malorry na kupelekwa kwa viwanda. Sasa huko viwandani ndiko itakapopakiwa kwenye mifuko na nembo za kampuni unazozifahamu wewe. Sasa wakati unanua unga wa Azam wewe jua alichokifanya ni kutia nembo tu kwenye ngano ya urusi.Sawa .ila Mimi nilikuwa nataka kuiona hyo ngano inayotoka urusi.
Hata mfuko wake tu.
Wacha uzushi wewe! Hebu leta evidence sukari inayozalishwa haifiki 10%! Kwani sie ni Kenya?Ndugu yangu umewahi kutoka kwenda mataifa mengine ukajionea?
Nchini kilimo tuacholimani kidogo sana na hakina tija. Wenzetu wanalima ndugu yangu. Nenda tu hapo South Africa ujionee kilimo chao na ufugaji utaelewa
Brazil huko wanalima mahindi kiasi kikubwa sana
Jiulize nchini sehemu gani kuna kilimo serous. Miwa sukari inayozalishwa ndani haitoshelezi hata asilimia 10 ya soko.
Maparachichi ya TZ yanahitajika dunia nzima ila hapo India tu ambapo ndio tunawauzia sana hatujakidhi soko hata asilimia 2