Wewe ndiyo umesema siyo wao sababu taarifa yao haijasema tunapata ngano kwa msaada! Kwani ku import bidhaa toka nje ni kupewa msaada? Umeongea kana kwamba tunapewa misaada ili kutufunga mdomo kuikemea Urusi kwa operation anayoifanya Ukraine! Je, hicho ndicho kilichoongelewa kwenye hiyo taarifa???
Nakuhakikishia tukiendelea na siasa za hivi hatutafika!!! Afrika haitafika!!! Afrika inaharibiwa na maafrika yenyewe!