Kabla ya kuanza kupigana na Israel waende wakayaone magofu ya Gaza kwanza ndio waamue wanapigana au wanasonya na kupita hiviMataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.
Kama six days war ilikuwa hivyo hivyo...Namheshimu sana RiTz kwa kusimama upande wa haki na kutupa taarifa mbali mbali ambazo wengine tunakuwa hatujazipata. Ila kwa hili la waarab naona kama ameteleza bila kuwa na pakushika.
Mkongwe yeyote mwenye kufuatilia siasa, vita na mambo ya ME (Middle East) hawezi kuamini hiki kilichopangwa, au kuongelewa na waarab.
Waarab ni wanafiki, waoga na wajinga. Hivyo ni ngumu sana kuwa na Umoja wa aina yoyote kwa ajili ya kumkabili adui. Ndo ile wanapanga kumshambulia Netanyahu alaf mmoja wao anampigia sim Trump kimya kimya kumtaarifu juu ya shambulio hilo. Kinachofuata ni Trump kumtaarifu Netanyahu kisha Netanyahu kwa msaada wa kambi za Marekani zilizopo katika nchi hizo hizo za kiarabu anawawahi wao kabla hawajaanza kushambulia Israel.
Habari zingine kwakweli kukimbilia kuzuiandika humu ni upuuzi mtupu.
Mbona hakuigeuza Iran kuwa kama Magofu ya Gaza?Kabla ya kuanza kupigana na Israel waende wakayaone magofu ya Gaza kwanza ndio waamue wanapigana au wanasonya na kupita hivi
Qatar ndio tahira kabisa anaelindwa na U.S Israel wanawajua hao Qatar nje ndani.Mbona kama umepanic?
Tajiri kachokozwa kumbuka Qatar siyo Syria au Yemen au Lebanon.
Tulia utaelewa kwa nini Qatar ni tajri.
Inasaidia niniQatar Airways has deleted “lsraeI” from the map and replaced it with Palestinian Territories 😂👏🏼
Mkuu upo serious ? Unafananisha waajemi wenye akili wanaojitambua na hao wehu waarabu.Mbona hakuigeuza Iran kuwa kama Magofu ya Gaza?
Hivi kupigana na watu hawana kifaru, air defense, meli za kivita, air force napo unajisifu?
Sikumaanisha kuilinganisha waajemi na waarabu..Mkuu upo serious ? Unafananisha waajemi wenye akili wanaojitambua na hao wehu waarabu.
Sasa wajaribu kufanya mashambulizi Israel uone kitakacho wakuta na kambi zao za U.S😀 hawa watu ni wehu wenye hela
Waarabu hawewezi kufanya chochote cha maana maisha yataendelea kama kawaida.Sikumaanisha kuilinganisha waajemi na waarabu..
Lakini kama wakifuata anachofanya muajemi basi wataweza kumdhibiti Israel..
Nilichokiona kwenye hii vita ya siku 12 na vita ya Gaza, ni kama imewaamsha waarabu na kugundua Israel ni overrated...
Kama unausoma mchezo kuanzia Qatar, Saudi n.k wamepiga salute kwa muajemi...
Muajemi kawafungulia code...
Kwa alichokifanya Israel pale Qatar, sidhani kama kwenye mashambulizi yake dhidi ya Iran yanayofuatia atafaulu, atapigika vibaya...
Anaejitambua pale ni Yemen tu..Waarabu hawewezi kufanya chochote cha maana maisha yataendelea kama kawaida.
Mwaarabu yoyote atakaye jaribu kuinua mdomo atabondwa na Israel hatoamini macho yake.
Waarabu walichoona na taarifa walizopata kwenye vita ya siku 12 nadhani hata wao sasa wanamuogopa Muajemi..Muajemi mwenyewe kabla ya kupiga Qatar aliwambia nitampapasa huyo Muhuni (devil himself US) na baada ya kupiga alilaani tukio la kushambulia katka ardhi ya Qatar huku akisema aliyemshambulia sio Qatar na hana ugomvi nae, Sasa Leo kijakazi kampiga taijri yake sina Hakika Kama mwarabu Yuko sirias ila amgekua sirias ni kuvunja mkataba yote ya mabilion dollars aliyoingia na US na kumpa mchina, mrusi au muIran
Hao watu akili zao hazipo sawa hata kidogo.Waarabu walichoona na taarifa walizopata kwenye vita ya siku 12 nadhani hata wao sasa wanamuogopa Muajemi..
Usije kushangaa wakaanza kuegemea upande wa Iran...
Niliwambia hawa wakanisa Qatar sio ya kutishwa na Israel, pesa alizo nazo anaweza kuwapelekea silaha Syria au Lebanon akawambia wakianzishe. Kinacho mtia kiburi Israel ni silaha na Qatar ana uwezo wa kuwanunulia silaha kuliko hizo anazo pewa Israel na USA.Wanakumbi.
Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.
Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki ya Kati naona kumeanza kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama Syria au Lebanon au Iraq.
================
View: https://x.com/globalupdates24/status/1967302629786353986?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw