Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie.
Hata hivyo na mimi hapa nakazia, itabidi Israel iambiwe sasa tosha, sio kwa mateso yale....jameni wameskia na haitokuja warudie kosa, kama kuna yeyote mwenye uwezo wa kuongea na Israel awaambie.
==============

Ministers from Arab and Islamic countries will visit China on Monday on the first stop of a tour aims at ending the war in Gaza, Saudi Foreign minister Prince Faisal bin Farhan said.
The tour will be the first step in carrying out decisions reached at a joint Arab and Islamic summit held in Riyadh this month, Prince Faisal said on the sidelines of a conference in Bahrain in comments posted by his ministry on the social media platform X on Friday.
 
Mbona hii vita ni nyepesi sana kuisha Waongee tu Hamas waachie mateka kisha waweke silaha chini wawape free path waondoke Gaza job Done.. yaani wanataka Vita isimame and Hamas na Al jazeera watangaze ushindi. hahahahaha this thing wangeendelea tu kutamka yale maneno yao Allahu akbar sasa wanamfuata china ndipo alipo Allah? au wamesikia Allah yupo vacation Guangzuh au Beijing
 
Nimecheka sana yaani.
 
Baada ya kibano allah alikimbia kwa sasa yupo zake huko tarime anawamasisha walime bangi.
 
Mbona hii vita ni nyepesi sana kuisha Waongee tu Hamas waachie mateka kisha waweke silaha chini wawape free path waondoke Gaza job Done.. yaani wanataka Vita isimame and Hamas na Al jazeera watangaze ushindi. hahahahaha this thing wangeendelea tu kutamka yale maneno yao Allahu akbar sasa wanamfuata china ndipo alipo Allah? au wamesikia Allah yupo vacation Guangzuh au Beijing
Mateka hawajapatikana bado!!?
 
Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie.
Hata hivyo na mimi hapa nakazia, itabidi Israel iambiwe sasa tosha, sio kwa mateso yale....jameni wameskia na haitokuja warudie kosa, kama kuna yeyote mwenye uwezo wa kuongea na Israel awaambie.
==============

Ministers from Arab and Islamic countries will visit China on Monday on the first stop of a tour aims at ending the war in Gaza, Saudi Foreign minister Prince Faisal bin Farhan said.
The tour will be the first step in carrying out decisions reached at a joint Arab and Islamic summit held in Riyadh this month, Prince Faisal said on the sidelines of a conference in Bahrain in comments posted by his ministry on the social media platform X on Friday.
Wapi kwenye "source" yako palipoandikwa "wanakwenda kuomba China isaidie" au huo ni utumbo wako wa Kikenya?

Ruto alikwenda kuwaomba wajomba wa Mungu wenu waendeleze mauwaji ya wagonjwa mahospitali, tunawafahamu vibaraka.
 
Swla hapo ni kuachia mateka wote,bila mashart. Hamas hawajali kuishi kwa watu wengine ,ila wao tu. Hawataki waonekane wameshindwa ,ingawa kila dalili inaonyesha wameshindwa
 
Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie.
Hata hivyo na mimi hapa nakazia, itabidi Israel iambiwe sasa tosha, sio kwa mateso yale....jameni wameskia na haitokuja warudie kosa, kama kuna yeyote mwenye uwezo wa kuongea na Israel awaambie.
==============

Ministers from Arab and Islamic countries will visit China on Monday on the first stop of a tour aims at ending the war in Gaza, Saudi Foreign minister Prince Faisal bin Farhan said.
The tour will be the first step in carrying out decisions reached at a joint Arab and Islamic summit held in Riyadh this month, Prince Faisal said on the sidelines of a conference in Bahrain in comments posted by his ministry on the social media platform X on Friday.

Magaidi huwa hayasikii dawa ni kuyamaliza yote na uzao wao.

Hapo yanajitia yana huruma kumbe unafiki kwa sababu yamezidiwa nguvu.
 
Wapi kwenye "source" yako palipoandikwa "wanakwenda kuomba China isaidie" au huo ni utumbo wako wa Kikenya?

Ruto alikwenda kuwaomba wajomba wa Mungu wenu waendeleze mauwaji ya wagonjwa mahospitali, tunawafahamu vibaraka.

Wewe nilishakuuliza wanawake mumeahidiwa wanaume wangapi kule, maana unalumbana sana na wanaume humu kila siku ukitetea uzombi, bora wanaume wameahidiwa mabikira, wewe utakua unaliwa na wanaume wangapi kwa siku.
 
Faiza angalia al Jazeera kuhusu mawaziri wa nchi za kiarabu na tour yao
 
Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie.
Hata hivyo na mimi hapa nakazia, itabidi Israel iambiwe sasa tosha, sio kwa mateso yale....jameni wameskia na haitokuja warudie kosa, kama kuna yeyote mwenye uwezo wa kuongea na Israel awaambie.
==============

Ministers from Arab and Islamic countries will visit China on Monday on the first stop of a tour aims at ending the war in Gaza, Saudi Foreign minister Prince Faisal bin Farhan said.
The tour will be the first step in carrying out decisions reached at a joint Arab and Islamic summit held in Riyadh this month, Prince Faisal said on the sidelines of a conference in Bahrain in comments posted by his ministry on the social media platform X on Friday.
Huyu china walikuwa wanamlaani kwa kuwafinya waislamu na kufunga zaidi ya 1000,Leo ameshakuwa kiumbe safi,kweli hali Tete.
 
Wewe nilishakuuliza wanawake mumeahidiwa wanaume wangapi kule, maana unalumbana sana na wanaume humu kila siku ukitetea uzombi, bora wanaume wameahidiwa mabikira, wewe utakua unaliwa na wanaume wangapi kwa siku.
Huyu dada asifanye mkauchukia uislamu.kwanza sio muislamu
 
Back
Top Bottom